Bw.Daffa
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 419
- 117
Ahsante sana mkuu Mad MaxWS ni course ya Ordinary Diploma in Water Supply Eng, miaka mitatu.Kwa ninavyojua waliochaguliwa na serikali wanakuaga na program inaitwa costs sharing, serikali inamlipia some percentage ya ada na inampa hela ya kula, ila sijui exactly ammount.
Ikiwa private anajilipia total Tsh mil 1.2 hivi kwa mwaka include hostels kasoro tu hela ya kula anajitegemea.
Kama unataka info zaidi uliza.
Last edited by a moderator: