Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

Anaweza kusoma course ya Hydrogeology and Well Drilling au Hydrology and Meteorology.
Ada na michango mingine unaweza kuipata kwa kudownload form katika website ya Chuo.
Course zote ni miaka mitatu.
Asante.
Je mwanafunzi mwenye ufaulu wa O level chemistry C
Physics C
Bios C
Math D
Yalio baki yote ni D
Na A level ana ufaulu ufuatao
Advanced Physics D
Chemistry D
Advanced math E
GS E ana weza kusoma course gani apo?
 
Ufaulu wa
Math-B
Chem-C
Phys-D
Eng-B
Kisw-C
Biol-E
Gegr-D
Hist-B
Civ-D
Matokeo hayo ni different sitting yani kwa kurisiti miaka tofauti.
Je naweza kusoma kozi gani apo ngazi diploma?
 
Water Development and Management Institute (WDMI) ama chuo cha usimamizi na maendeleo ya Maji, zamani Water Resources Institute (WRI) kilianzishwa mwaka 1974 kama kitengo ndani iliyokuwa wizara ya maji na nishati mnamo mwaka 1974.

Lengo kuu la uanzishwaji wa chuo hiki ilikuwa kukidhi mahitaji ya wataalamu wa maji wa ngazi ya kati katika uliokuwa mpango mkubwa wa miaka 20 wa program ya usambazaji maji nchini Tanzania kati ya (1971-1991).

Ilipofika mwaka 1980, chuo kilibadilisha jina na kuitwa Taasisi ya Rasilimali za Maji ya Rwegarulila ama Rwegarulila Water resources Institute. Chuo kimelenga katika kuandaa wataalamu mbali mbali wa sekta ya maji kupitia program zake za mafunzo, ushauri na tafiti chini ya sera husika ya wizara ya Maji, kwa sasa chuo kinatambulika rasmi kama Chuo cha Usimamizi na Maendeleo ya Maji, Water Development and Management Institute.

Chuo kinatambuliwa na TCU, kwa sasa chuo kinatoa kozi moja tu ya ngazi ya degree, ambayo wanafunzi wake, wanapata mkopo kutoka HESLB.

Bachelor degree in Water Resources and Irrigation engineering

Chuo ni cha Serikali, chini ya Wizara ya Maji, kozi zote za diploma zinazotolewa na chuo hiki, zinatambuliwa kwa usajili wa NACTE.

1. Diploma in Irrigation engineering
2. Diploma in Meteorology and hydrology
3. Diploma in Hydrology and water well drilling
4. Diploma in water supply and sanitation engineering
5. Diploma in water quality laboratory

Chuo kinatoa kozi mbali mbali za ngazi ya cheti. Chuo kwa kushirikiana na serikali, wanaandaa mkakati ili wanaomaliza masomo yao katika chuo hiki, waajiriwe moja kwa moja na serikali kupitia wizara ya Maji.

Chuo kina scholarship/sponsorship kwa watanzania katika ngazi ya diploma, kupitia WATER TECHNICIAN FUND, ofisi zao zipo ndani ya chuo cha Maji Ubungo.

Chuo kipo Dar es salaam, eneo la Ubungo, kutoka barabara ya Sam Nujuma kuelekea barabara ya chuo kikuu, inayopitia geti Maji.

Karibu Chuo cha Maji Ubungo, Dar es salaam.
Kwanini hiki Chuo kilibadilisha jina na kuitwa Taasisi ya Rasilimali za Maji ya Rwegarulila ama Rwegarulila Water resources Institute(mwaka 1980)?
 
Asanteni Wadau wetu wa Chuo cha Maji kwa maoni na Maswali mbalimbali. Mnaweza kuuliza zaidi maswali hapa tukasaidiana kujibu.
Binti yangu amechaguliwa kuja kusoma diploma ya usanifu maji maabara. Naomba kujua future ya hii kozi ni nini hasa. Hali ya ajira ikoje hapo baadae.

Nahitaji kufahamu japo kwa ufupi ili tuweze kufanya maamuzi.

Me nipo hapahapa nasubiri majibu
 
Nnaombeni kwa yoyote anayesoma WDMI Anitumie message kwenye hii namba0712034356 ntampigia nnahitaji nimuulize maswali kidogo kuhusu chuo cha maji mm nimepangiwa apo Hydrology and meteorology.Ahsante.
 
Jaman hiki chuo nahitaj nimpeleke ndgu yang bt cjajua alama gn znahitajika ili kusomea moja ya koz tano zilizoainishwa, biology D, chemistry D, physics F, math F yalobak yote ni C&D so nijuzeni ka ataweza kusoma na Kama itawezekana malipo ya koz hususa ni kias gn
 
Mkuu, kwa matokeo hayo itakuwa shida sana kupata.. maana ana miswaki ya Math na Phys hali ya kuwa wanaangalia sana masomo hayo mawili....
 
Pia kuna tofauti kati ya mtu aliyesoma hapo
Meteorogy na yule aliyesoma kule kigoma chuo cha TMA?!
 
Je mwanafunzi mwenye ufaulu wa O level chemistry C
Physics C
Bios C
Math D
Yalio baki yote ni D
Na A level ana ufaulu ufuatao
Advanced Physics D
Chemistry D
Advanced math E
GS E ana weza kusoma course gani apo?
Water resourx and irrgat engir unasoma t3na ni bachelor
But wanahitaj watu wachach ety 70
Ko compettn itakucost
 
Binti yangu amechaguliwa kuja kusoma diploma ya usanifu maji maabara. Naomba kujua future ya hii kozi ni nini hasa. Hali ya ajira ikoje hapo baadae.

Nahitaji kufahamu japo kwa ufupi ili tuweze kufanya maamuzi.

Asante.
 
Jaman hiki chuo nahitaj nimpeleke ndgu yang bt cjajua alama gn znahitajika ili kusomea moja ya koz tano zilizoainishwa, biology D, chemistry D, physics F, math F yalobak yote ni C&D so nijuzeni ka ataweza kusoma na Kama itawezekana malipo ya koz hususa ni kias gn

Kwa ufahuru wa F ya Mathematics hatutaweza kumchukua. Asante.
 
Nnaombeni kwa yoyote anayesoma WDMI Anitumie message kwenye hii namba0712034356 ntampigia nnahitaji nimuulize maswali kidogo kuhusu chuo cha maji mm nimepangiwa apo Hydrology and meteorology.Ahsante.
Karibu kwa Maswali utajibiwa.
 
Kunamdogo Wang kamaliza sec form four mwaka 2008 amesoma masomo ya arts na alipata D flat kwa masomo yote history, giografia, math, biology, kisw,civic, English, zote anaD atapata nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom