Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

dogo nakuheshimu 7bu someone hinted that you attended TBR school. Ningekutoa shoo. Nimesoma pale miaka 6 usiangushe shule ile.haijawah kutoa kituko.nimefuata aina ya kozi cjafuata jina la chuo. Nataka nikimaliza niitwe engineer. Ww utaitwa nani? Nimeangalia future ya irrigation naona ipo na ni eneo ambalo ntatoe mchango wangu vzuri ktk ujenzi wa taifa langu ipo damuni. Naheshimu machaguo ya wengine ukiwemo ww mdogo wngu. By the way mi ni kakako mkubwa sn .
Salimia muccobs.

Dah hata kuandika hujui unatuaibisha wana TABORA SCHOOL ,
 
]mwana tbr school gani umeenda pale miaka miwili na kakombi kako ka kishwain? Mie pale miaka sita! Kati yangu na ww nani mwana tbr school? O level ulisoma wapi we mbuzi mawe?
 
Dah hata kuandika hujui unatuaibisha wana TABORA SCHOOL ,
mwana tbr school gani umeenda pale miaka miwili na kakombi kako ka kishwain? Mie pale miaka sita! Kati yangu na ww?nani mwana tbr school? O level ulisoma wapi we mbuzi mawe?
 
mwana tbr school gani umeenda pale miaka miwili na kakombi kako ka kishwain? Mie pale miaka sita! Kati yangu na ww nani mwana tbr
School? O level ulisoma wapi we mbuyi mawe?

Mkuu usiendelee kucomment kuandika hujui ,
 
mwana tbr school gani umeenda pale miaka miwili na kakombi kako ka kishwain? Mie pale miaka sita! Kati yangu na ww nani mwana tbr
School? O level ulisoma wapi we mbuyi mawe?

Mkuu usiendelee kucomment kuandika hujui , kombi za kishwain ndio zipi?
 
Niko tayari kwa maswali yenu kuhusu water development and management institute(WDMI) kilichopo ubungo karibu na UDSM.
 
Tunaanza na diploma kwa miaka 3 kwa mtindo wa BC,FTC,na diploma ukimaliza mwaka wa 3.
 
Chuo kina wakufunzi na wanafunzi wangapi? Na je, wakiume /wakike wangapi?
 
Mkuu Amante wakufunzi ni wengi wakutosha na wanafunzi aproximately 900 jumla kwa degree na diploma.
 
Niko tayari kwa maswali yenu kuhusu water development and management institute(WDMI) kilichopo ubungo karibu na UDSM.

nilipofanya application, nili include pia chuo cha maji WDMI, vp compition ipo kubwa xana?. Note mimi nimeaply for bachelor.
 
Mkuu kaliua degree sifa ni zile za TCU na diploma wanahitaji credit 2 kwa masomo ya science au uanze na pre-entry coarse
 
Mkuu general director competition ni kweli kubwa kwa degree kutokana na udogo wa miundo mbinu na wanahitajika kama 70 tu
 
Back
Top Bottom