Mkuu kaliua degree sifa ni zile za TCU na diploma wanahitaji credit 2 kwa masomo ya science au uanze na pre-entry coarse
mkuu kwa mwaka huu pre-entry si imeshapita au?
Mkuu kaliua degree sifa ni zile za TCU na diploma wanahitaji credit 2 kwa masomo ya science au uanze na pre-entry coarse
Niko tayari kwa maswali yenu
kuhusu water development and management institute(WDMI) kilichopo
ubungo karibu na UDSM.
Kwa nini chuo hiko kinafuga waliofeli form four?mfano kuna mshkaj namjua alipata phy-E,Math-E,Chem-E,Lang-D na akawa admitted.
Na kama kijana alisomea Arts O level, kuna uwezekano akajiunga?
mkuu kwa mwaka huu pre-entry si imeshapita au?
hostel zipo kibao,asidanganywe na wajinga,then hicho chuo ni cha serikali na ni kikongwe so sio cha kubabaisha kabisa
degree nao wanapewa hostel??????
kwa anae kifahamu hiki chuo wajamen.......
maana kuna dogo angu wa kike amechagulia hapo na kwa stor zilizopo n kwamba chuo hakina hostel....
sasa huwa wana kaa wap ??????
kama ntaweza pata namba za kiongoz yeyote wa chuo itakuwa afadhar kidogo
msaada wa jamen........
hostel zipo kibao,asidanganywe na wajinga,then hicho chuo ni cha serikali na ni kikongwe so sio cha kubabaisha kabisa