Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

Wewe kama hujui mambo,you better stay quiet..., hostel zilizopo Wdmi ni kwa ajili ya watu wa OD tu,watu wa bachelor wanatakiwa kutafuta malazi nje ya chuo!!!

duuh,kijana umekuja kwa ugomvi au??mm siogop ban kijana
 
maana kwenye joining instructn zao walivyoandika
wamesema degree watatakiwa watafute their own accomodation ...palitustua kdogo
chupu chupu aandike barua ya kuhama tcu maana

ukweli ni kwamba WDMI hakuna hostel kwa ajili ya watu wa bachelor zipo za watu wa diploma tu, bachelor wanatafuta sehemu za kuishi wenyewe au wanabebwa na watu wa diploma
 
hostel zipo
kibao,asidanganywe na wajinga,then hicho chuo ni cha serikali na ni
kikongwe so sio cha kubabaisha kabisa

hata madarasa pia ni machache sana, kiujumla miundo mbinu ya hiki chuo ni michache sana ukilinganisha na uzuri wa course zinazotolewa WDMI
 
ukweli ni kwamba WDMI hakuna hostel kwa ajili ya watu wa bachelor zipo za watu wa diploma tu, bachelor wanatafuta sehemu za kuishi wenyewe au wanabebwa na watu wa diploma

mbona mm kuna rafk zangu wawili wanakaa pale campus na ni wa bachelor..
 
hostel zipo kibao,asidanganywe na wajinga,then hicho chuo ni cha serikali na ni kikongwe so sio cha kubabaisha kabisa

Mimi ni mwanafunzi hapa maji. diploma mwaka wa tatu. hostel hutolewa kwa wanafunzi was diploma tu nazo hazitoshelezi. wanafunzi wote wa degree (me/ke) hupanga mitaani. 0719397568
 
Form six anaweza kujiunga na degree hapo ??

Ndyo we omba kuna kozi y bachelor of engineering in water resources and irrigation engineering ,kwa maelezo zaidi ingia hapa then soma prospectus utaelewa zaidi www.wdmi.ac.tz karbu maji ubungo "maji kwa maendeleo" m npo hapa nasoma
 
wameanza lini mkuu degree
Ndo tunamalza smest y 2 now,mwez w 11 tunaanza tn xo unawez ukaomba kuptia tcu,ila diploma application zmeshaanza degree wapo mpka mwka w 2,now wnaend mwka wa 3 karbu maji
 
Mbona mlibadirisha jina la chuo kutoka Rwegalurira kwenda WDMI? Au kwa sababu hampendi majina ya kiafrika.
Mbona Harvard ni jina la mtu?
 
Ndyo we omba kuna kozi y bachelor of engineering in water resources and irrigation engineering ,kwa maelezo zaidi ingia hapa then soma prospectus utaelewa zaidi www.wdmi.ac.tz karbu maji ubungo "maji kwa maendeleo" m npo hapa nasoma

Gharama Zao Tsh.Ngapi? Kwa Certificate, Na Diploma.
 
mkuu,mbona nikiangalia prospectus ya tcu hata ya mwaka jana sion chuo chenu.km kinatoa degreee...naomba no yako nikutafute
 
ada ya degree sh ngapi.na km mtu ana phy D,chm S na math E,kwa matokeo ya zaman anaweza kupata hapo ukizingatia ushindan uliopo??
 
Back
Top Bottom