Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Huko katika vyumba kuna visabuni vile vidogo?/maana kuna vipya vinaitwa rungu je nivipi unavyo au nije na sabuni yangu ya mwarobaini??nijibu wewe Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Hodi hapa mi mgeni, naulizia kama VIP Lounge tunaruhusiwa kuijngia na komoni zetu?
 
Asante though i am late.

 
Last edited by a moderator:
dadadadadeki nilikuwa wapi kuona hii thread?
Erick harakisha tufunge milango TRA wanakuja!
 
Hahahaa isingekuwa raha watu wasingekuwa wanakunywa hadi wanalewa!
Ila wakiamka na hangover ndio wanaanza kujuta kunywa na maumivu yakipungua wanasahau then wanaenda tena kunywa lol

Ndio mateja ya biere Erickb52!
 
Last edited by a moderator:
dadadadadeki nilikuwa wapi kuona hii thread?
Erick harakisha tufunge milango TRA wanakuja!
We siulikuwa unarandaranda mtaani tunakuangalia tu
TRA waje tu nilishawaset
Wanakuja kiushahidi tu ila mambo yako poa
 
Tutakaa pembeni tutete maana bepari la kihaya Bishanga hachelewi kuandika ktk magazeti yake mara oohh freemason wahusika,ama ufisadi wanukia mtanzania anunua gari la mabilioni wakati kilaza anatafuta msaada wa mamilioni
mnanisengenya eh?
 
Last edited by a moderator:
Nipo restaurant. Karibuni tuwahudumie Breakfast.
Kuna supu ya kuku,supu ya ng'ombe, kongoro, mkia, pupu, ulimi, mtori, maharage,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…