Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

mkuu umenikumbusha kuna siku tuliombwa na nesi wa zamu tumsaidie kumpeleka mtu mochwari maana nilikuwa na mgojwa hodini nilikubali ila wengine waligoma, tukafika kwenye chumba cha kuhifadhia miili ya waliofariki mara pa umeme huo ukakatika hapo mwili ilikuwa ndo tumeuweka kwenye zile bati ili tupandishe kwenye fregi nilijikuta nipo mwenyewe ndani kila nikitaka kukimbia nagongana na makabati ilinibidi nijibanze kwenye kona mpk walipoenda washa genereta ila nusu kujikojolea
Hahaaa kama nakuona vile
 
Hivi MTU akifariki anajijua kama amefariki?je nafsi yake huendelea kuona yatendekayo duniani?wafu waweza kujitokeza angalau kuwasiliana nasi?msinishangae kuna mambo yalinitokea yananitatiza
Wafu hawajui lolote... Kinachobaki huwa ni roho ambayo ikifanikiwa kupata mwili huingia humo na kugeuka mzimu
 
Kwa mantiki hiyo, inakuwaje kwa watu wanaouliwa kwa mabomu? Maana mwili unakuwa umetawanyika vipande vipande, vipi wanaokufa kwa kuchomwa moto?

Vipi wale marehemu wanaogeuzwa specimen ktk vyuo vya kitabu na miili yao kufanyiwa dissection na majaribio mbalimbali ya wanafunzi? Inamaana madokta na manesi wote wanakuwa ktk hali ya kuwa hunted na roho za hao wafu?
Maana miili ya namna hii marachache uzikwa.

Bila kusahau na wale wanaokufa kwa kuliwa na wanyama eg simba mamba nk.

Na vipi wale walio na tamaduni za kuchoma miili watu kama wa india, marehem si watakuwa na chuki sana!

Em fafanua ktk nyanja za aina hiyo ya vifo
Mostly Hindu society hii ishu ya kufanya cremation kuchoma miili moto ni jadi na imani yao ya kidini na hivyo roho zote zinapochomoka kwenye miili zinafahamu kwamba hii ndio stage inayoufuatia kwao hivyo hawaleti shida maana they expect to be treated this way na miili yao isipochomwa nafsi zao zinakuwa wandering spirit wanatangatanga duniani maana ishu ya kufa cha kwanza inabidi mhusika akubali kwamba kafa na anapashwa kuishi maisha ya rohoni na sio mwilini mhusika akikubali huu uhalisia kuna amani na furaha sana rohoni maana ndio sehemu pekee ambako hakuna maumivu wala dhiki kuu...tell you this in spiritual realm there is neither pain nor suffering labda wachawi wakutrack na uishi maisha yao but otherwise ndio sababu hata Mungu ndio anaishi rohoni kusiko na maumivu wala Queries yeyote kwani unadhani kungekuwa na raha Duniani Mungu angeachaje kuja kuishi huku but huku ni ushenzini ndio maana hata shetani akamtupia huku asichafue heaven yake God kwa hiyo tuna kula msoto na shetani hapa Duniani ...Mungu ni roho na ataishi rohoni kwenye nguvu zisizomithilika na kwenye raha isiyomithimilika. Kwanini binadamu unaogopa kuishi rohoni?

Punde tu baada ya kufa ukiamini na kukubali umekufa na angel of God wakaguide in your spiritual voyage basi you will live your eternal spiritual life in peaceful and loving manner. Roho nyingi zinazotangatanga duniani ni zile ambazo zinaamini hazijafa na zinapaswa kuishi duniani maana maisha yao yamekatishwa..mfano wanaouwawa vifo vya kutatanisha kama kufa maji, kupigwa hadi kufa, kuchinjwa njiani. Mfano Mimi kuna sehemu nyumbani kuna jamaa alichinjwaga chini ya mti wa maembe yaani nilikuwa nikiamka asubuhi kwenda shule kupitia njia hiyo nywele zilikuwa zinasisimka sio kifani..then tulikuwa tunachezeapo mpira ukiwa unasubiri sub ghafla unapitiwa na usingizi then unakabwa vibaya unapiga kelele sauti haitoki..ukiamka ukiwasimulia wenzio wanakwambia hata wao walishapitia hiyo kadhia. Tunabaki kucheka but soon nikajakugundua kuna roho ilidhulumiwa kwa hiyo iko pale kama "wandering spirit".

Hivyo tukifa na kukubali tumekufa na kuexpect angelic guidance we will have that blissful state na tukideny we are dead tutasumbua sana raia.
 
Mama yangu alifariki kama miaka 15 iliyopita,,she was my best friend.baada ya hapo nikaanza kumuota mfululizo kwa miaka kadhaa mbele na maranyingi ananiambia anaumwa au anakuwa yupo hospitalini,,nakua nashangaa namuuliza kumbe hujafa?hii ndoto ya yeye anaumwa na hajafa haijawahi kubadilika..miaka ya karibuni ndo nimekua sipat sana hii ndoto mfululizo,,je hii inamaanisha nini mshana jr
 
kuna jamaa, juzi tu alitoka mida ya saa nane usiku kwenda msalani kushika adabu zake, lakini amemaliza, ataka kuchukua kopo kujitawaza, akasikia anatawazwa tena utawazwaji wa kibabe..hakuweza kufungua mlango, alitoka nao woote kama ulivyo, uchi..je ni kweli chooni kuna majini? na ni kwanini watu wengi wanaoanguka chooni hufikwa na umauti hukohuko
Hahaha jamaa huyo sio wewe kweli!! Haha
Kutawazwa kibabe ndio kukoje mkuu?
 
Mama yangu alifariki kama miaka 15 iliyopita,,she was my best friend.baada ya hapo nikaanza kumuota mfululizo kwa miaka kadhaa mbele na maranyingi ananiambia anaumwa au anakuwa yupo hospitalini,,nakua nashangaa namuuliza kumbe hujafa?hii ndoto ya yeye anaumwa na hajafa haijawahi kubadilika..miaka ya karibuni ndo nimekua sipat sana hii ndoto mfululizo,,je hii inamaanisha nini mshana jr
Pole sana asee ila ngona Mshana aje najua atakujib pm, hilo ndilo nna uhakika nalo
 
Mostly Hindu society hii ishu ya kufanya cremation kuchoma miili moto ni jadi na imani yao ya kidini na hivyo roho zote zinapochomoka kwenye miili zinafahamu kwamba hii ndio stage inayoufuatia kwao hivyo hawaleti shida maana they expect to be treated this way na miili yao isipochomwa nafsi zao zinakuwa wandering spirit wanatangatanga duniani maana ishu ya kufa cha kwanza inabidi mhusika akubali kwamba kafa na anapashwa kuishi maisha ya rohoni na sio mwilini mhusika akikubali huu uhalisia kuna amani na furaha sana rohoni maana ndio sehemu pekee ambako hakuna maumivu wala dhiki kuu...tell you this in spiritual realm there is neither pain nor suffering labda wachawi wakutrack na uishi maisha yao but otherwise ndio sababu hata Mungu ndio anaishi rohoni kusiko na maumivu wala Queries yeyote kwani unadhani kungekuwa na raha Duniani Mungu angeachaje kuja kuishi huku but huku ni ushenzini ndio maana hata shetani akamtupia huku asichafue heaven yake God kwa hiyo tuna kula msoto na shetani hapa Duniani ...Mungu ni roho na ataishi rohoni kwenye nguvu zisizomithilika na kwenye raha isiyomithimilika. Kwanini binadamu unaogopa kuishi rohoni?

Punde tu baada ya kufa ukiamini na kukubali umekufa na angel of God wakaguide in your spiritual voyage basi you will live your eternal spiritual life in peaceful and loving manner. Roho nyingi zinazotangatanga duniani ni zile ambazo zinaamini hazijafa na zinapaswa kuishi duniani maana maisha yao yamekatishwa..mfano wanaouwawa vifo vya kutatanisha kama kufa maji, kupigwa hadi kufa, kuchinjwa njiani. Mfano Mimi kuna sehemu nyumbani kuna jamaa alichinjwaga chini ya mti wa maembe yaani nilikuwa nikiamka asubuhi kwenda shule kupitia njia hiyo nywele zilikuwa zinasisimka sio kifani..then tulikuwa tunachezeapo mpira ukiwa unasubiri sub ghafla unapitiwa na usingizi then unakabwa vibaya unapiga kelele sauti haitoki..ukiamka ukiwasimulia wenzio wanakwambia hata wao walishapitia hiyo kadhia. Tunabaki kucheka but soon nikajakugundua kuna roho ilidhulumiwa kwa hiyo iko pale kama "wandering spirit".

Hivyo tukifa na kukubali tumekufa na kuexpect angelic guidance we will have that blissful state na tukideny we are dead tutasumbua sana raia.
Kwa hivo cha kwanza kitakacho amua, mtu mwenyewe kukubaliana na hali bila kujalisha aina ya kifo.

Swali moja bado. PAle uliposema mtu akifa atakaa Karibu na mwili wake sasa mtu kama alietawanywa na bomu inakuaje! Au atakaa sehemu alipofia ata kama mwili umekuwa vaporized na bomu!
 
Je kama akwilina akiamua kulipa kisasi Je Mkuu wa inchi atasalimika?
Akiamua kulipa kiasi atajitafutia matatizo zaidi maana atalazimika kuishi kwa chuki na kinyongo rohoni ikiendelea hivyo hataingia kwenye raha ya milele roho yake itakuwa ya visasi na ghubu zito but akilet it slide and ask for angelic guidance na nature ya kifo chake alichokufa ataishi kwa raha kubwa ya rohoni kama vile mtu anaepata orgasms ...very happy and peaceful state.

Then hiyo kazi anamwachia Mungu na malaika wake. Ukijipa makazi ya rohoni ndio roho yako itatangatanga Duniani hadi ukome ubishi. Binadamu ukihisi unataka kufa basi jiweke katika hali ya amani, Upendo na furaha maana hivi vitu ndivyo roho zinaviappreciates..! Maana Mungu akiwemo yeye kaiumba roho katika namna hii ndio maana orgasm ya mapenzi ni ile hali ya energy ya mwili kusisismka to the extent hata mwili unaapreciate ule utamu wa tendo...ni takatifu watu mnakuwa mwili mmoja wa kiroho ndio maana kuna siri kubwa sana kwenye kufanya tendo lile kwa binadamu...pale mnaingia rohoni..kwa hiyo mmoja akiwa na mauzito yake na rohoni ni rahisi kuyakwapua.
 
Idadi kubwa ya watu walionusa kifo na kurudi duniani..those with near death experience naamanisha walikuwa declared as clinically dead baada ya brain shut down wanakiri kwamba punde baada ya kuanza kukata roho huwa wanakuwa na uelewa wa kila jambo na wanajiona wakiuacha mwili na kuelekea angani in form of energy and soon wanapouacha mwili wanakwambia huwa wanapata amani kubwa sana na kusense kitu bacho kitaalamu kinaitwa Blissful state na pain inaisha muda huo huo.

Hivyo wanakiri kwamba wanaona kila kitu kinachoendelea duniani.

Sio siri huwa natamani hata nife kesho nishuhudie yaliyoko huko kwenye spiritual world, maana inaonekana kuna siri kubwa sana.

Napenda sana.
ila ukikuta ni uongo ndio imekula kwako huwezi ku UNDO
 
Inawezekana wa kwanza Jesus... He died and rose from the dead.

But kufa kibinadamu ni hadi chord inayounganisha mwili na roho ikatike..but kuna watu wako luck enough wanakufa na kuwa clinicaly declared dead kutokana na brain shutdown but spiritual bado chord haijakatika ila ubongo wao umesize kufunction so wanatamkwa kama wafu but spiritual bado wanakuwa wako active ndipo hapo mtu anarudi tena dunaini ila wanakuwa hawajafika kabisa kwenye death state. Hawa ndio wale wa near death experience.

Its funny to die.
kama its fun mbona ili ufe lazima upite depo lakutosha kama vile kuumwa ,ajali,kupigwa, na madhila kibao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom