Karibia mtaa mzima Sinza A tumeibiwa

Karibia mtaa mzima Sinza A tumeibiwa

Huku kwetu haka katabia Ka wizi kameisha!

Tulifanya hivi: tulianza kufanya Doria tukishirikiana na Polisi. Kila Polisi walipochelewa kwenye tukio, walichokuwa wanasaidia ni kupeleka Mochwari mwili wa kibaka. So, baada ya matukio kama ma4 ya Polisi kuchelewa basi na vibaka/wezi wakaamua kuhamia Sinza!
 
Goba na Makongo juuu sehemu angalau kwa Dsm kuishi
Unasemaje? 😆😆😆, Goba kumekuwa na wezi wa vifaa vya magari wanaitwa mchwa. Wakifika kwako 'wanatafuna' gari kwelikweli. Kuna posts humu za watu kuuliwa mbwa wao wa ulinzi na mali zao kuporwa.
 
Leo imekuwa ni vilio na hamaki kwa raia wa hapa Sinza A, baada ya kuamka asubuhi na kukuta madirisha yao yametobolewa na kukatwa kwa nyavu.

Inasemekana, walipuliza dawa ya usingizi ndipo wakafanya unyama huo. Watu wameibiwa pesa, laptops, simu, vitu vya ndani kibao.

Hapo unapoishi, kuna wizi wowote umefanyika?

Anayejua jinsi ya kujikinga na hiyo sawa, atupe elimu hapa.

Poleni wahanga wote wa wizi huo.

Nawasilisha!
Wakazi wa sinza wote wezi.mnachotofautiana na Huyo mkata madirisha ni yeye kutumia nguvu zaidi kuliko akili. Ila ukiniambia tu unakaa sinza bila mjadala we we ni mwizi hasa tapeli, au kahaba,muuza ngada,Hindi hewa,.Mtu anayejiheshimu hawezi ishi.Sinza.
 
JF kuna wapumbavu wengi kweli, mada serious watu wanachangia ujinga hadi kero

Dawa ya kudhibiti wezi kama hao ni kuweka zile chuma za dirishani zikiwa zimebanana tu ili asiweze kupitisha simu

Madirisha mengi yana ma grill yenye nafasi kubwa sana na mengine hayana kabisa,
Inabidi kubadili staili ya ujengaji wa nyumba kukabiliana na hatari hii
We pung'o wamesema wamekata madirisha
 
Wakazi wa sinza wote wezi.mnachotofautiana na Huyo mkata madirisha ni yeye kutumia nguvu zaidi kuliko akili. Ila ukiniambia tu unakaa sinza bila mjadala we we ni mwizi hasa tapeli, au kahaba,muuza ngada,Hindi hewa,.Mtu anayejiheshimu hawezi ishi.Sinza.
Mkuu wewe unaishi wapi? Usipende kujumuisha.
 
Nilifikiria kuja kupanga Sinza, kumbe ushenzini sana. Asante kwa taharifa mkuu. Plain A nimeifuta, naendelea na plan B mbezi beach au Goba
Muulize kidukulilo alipita hapo kwa mbali akiwa kwenye Range yake
 
Kesho unaenda kunywa maji unakufa. Unakuwa umejiokoaa kuibiwa na unakuwa umepata nafasi ya kwenda mbinguni. Kuishi sehemu zisizo na ulinzi ni hatari sana
Toa ufafanuzi maana huweleweki unamaanisha nini
 
Goba kuna wezi kuliko Sinza. Uliza wamiliki wa magari wanachofanyiwa hadi mbwa wanauawa
Dawa ya wezi na majambazi ni kuua tu. Tofauti na hapo wizi utaendelea. Mtaa ninaoishi mimi, akikamatwa mwizi au wezi ujue kifo kinamhusu. Dar wezi wanalelewa, utasikia mtu anasema "naye atakula wapi" Watu wafanye kazi halafu yeye ale kirahisi.
DAWA YA MWIZI NI KIFO
 
Mkilala wekeni maji kwenye ndio au chombo chochote usifunike nasikia ni dawa za nusu kaputi
 
w
Mwache yupo anatuliza balaa la mafuriko kuponya watu. Drone yake imefanya kazi sana jana. Mwache mdogo wangu apumue.

Dawa ni ulinzi shirikishi basi.
Ahahahahah
 
Huyo akija mwenye nyama imewekwa sumu ya ya panya ya buku 2 kaisha.
Poleni wanaume wa Dar es salaam

abd65869-99fb-464e-b4e8-1983e792efe1.jpg
 
Lala na ndoo ya maji chumbani ndo dawa.
Leo imekuwa ni vilio na hamaki kwa raia wa hapa Sinza A, baada ya kuamka asubuhi na kukuta madirisha yao yametobolewa na kukatwa kwa nyavu.

Inasemekana, walipuliza dawa ya usingizi ndipo wakafanya unyama huo. Watu wameibiwa pesa, laptops, simu, vitu vya ndani kibao.

Hapo unapoishi, kuna wizi wowote umefanyika?

Anayejua jinsi ya kujikinga na hiyo sawa, atupe elimu hapa.

Poleni wahanga wote wa wizi huo.

Nawasilisha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom