TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 12,045
- 12,540
Na ikitokea dharura ya moto sijui utaokokaje hapo..JF kuna wapumbavu wengi kweli, mada serious watu wanachangia ujinga hadi kero
Dawa ya kudhibiti wezi kama hao ni kuweka zile chuma za dirishani zikiwa zimebanana tu ili asiweze kupitisha simu
Madirisha mengi yana ma grill yenye nafasi kubwa sana na mengine hayana kabisa,
Inabidi kubadili staili ya ujengaji wa nyumba kukabiliana na hatari hii

