Karibia mtaa mzima Sinza A tumeibiwa

Karibia mtaa mzima Sinza A tumeibiwa

Ni kweli kabisa. Ila hili la short ya umeme siwezi kulifanya kabisa. Nimeshashuhudia vifo viwili vya watu wema vilivyosababishwa na aina hii ya ulinzi. Mmoja alikuwa mtoto mdogo anachezea dirisha kumbe aliyeweka alikuwa hajaamka ili azime. Jingine aliondoka akasahau kuzima huku nyuma akaja ndugu yake akashika.
Pole sana kiongozi
 
Zaka mpwaaa watu wanakula sana zaka za Mungu lazima atunyooshe turudi KWENYE mstari
 
Uwezekano upo coz ata vumbi linanyonywa na maji, leo hii ukifika hme chokua chombo kidogo thn tia maji usiyafunike thn kaa kama lisaa 1 alaf uangalie ndani ya maji, utakuta kuna vumbi jingi sana
Hakuna ukweli wowote kuwa eti maji yana uwezo wa kuvuta dawa ya usingizi iliyopo kwenye hewa. Hili ukilisema kwenye wasomi wa ukweli watakucheka sana. Hebu toa mfano wowote wa dawa ya usingizi inayovutwa na maji yaliyo kwenye ndoo. Tuambie ni dawa gani tufanye majaribio.
 
Nilifikiria kuja kupanga Sinza, kumbe ushenzini sana. Asante kwa taharifa mkuu. Plain A nimeifuta, naendelea na plan B mbezi beach au Goba
Tumemaliza Kazi yetu salama pale sinza, kituo kinachofuata ni mbezi beach au goba tunasubiri uhamie kwamtoro
 
Tumemaliza Kazi yetu salama pale sinza, kituo kinachofuata ni mbezi beach au goba tunasubiri uhamie kwamtoro
Mimi utaniibia kwa robbering njiani tu. Kwangu nakukaribisha sana. Wewe utaenda mochwari, mimi kwenye vizingiti vya mahakama
 
Uwezekano upo coz ata vumbi linanyonywa na maji, leo hii ukifika hme chokua chombo kidogo thn tia maji usiyafunike thn kaa kama lisaa 1 alaf uangalie ndani ya maji, utakuta kuna vumbi jingi sana
Ni kweli. Lakini hata ukiweka meza badala ya chombo cha maji, meza bado itakuwa na vumbi kwani linasambaa chumba kizima. Idea yangu hapa ni kuwa kama wakupuliza dawa basi itasambaa chumba kizima na haitagua tu kifaa chenye maji ndiyo iingie ndani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom