Kariakoo ni kero, machinga wamejaa kila kona

Bin Chuma75

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
1,003
Reaction score
1,102
Wakuu hali ni mbaya kariakoo na viunga vyake, wamachinga wamefunga mitaa yote na baraza zote, hili jambo mkuu baba alizungumzie, hii nchi ni yetu wote, sio wamachinga peke yao. Muheshimiwa baba tuonee huruma na sisi wengine tunaotumia barabara za maeneo ya kariakoo na viunga vyake, wamachinga kwa sasa wamekuwa na jeuri kuliko hata FFU(Fanya Fujo Uone).

Kama kariakoo na viunga vyake vimekuwa ni soko rasmi la wamachinga basi serikali ipige marufuku magari kupita maeneo hayo kwa usalama wa watu na mali zao, maana msukumano uliopo wa wamachinga na waenda kwa miguu ni hatari sana kwenye magari.

Mkuu baba jaribu tu hata kutoka kimya kimya upite maeneo ya kariakoo na viunga vyake uone wananchi tunavyotembea kwa mateso tukihatarisha maisha yetu kwa kugongwa na magari.
 
Mbona nasikia biashara hamna, wamejaa wanafanya nini?!!
 
Hilo halifanyiki kwa bahati mbaya kaka ni mikakati 2020! Hali ni mbaya wanaojenga hizo barabara wanawakati mgumu sana ila ndio hivyo lakini pia isitokee gari kuacha njia maana yatakua maafa ya kujitakia tuombe Mungu aepushe hili.
 
Hii nchi bana
Unaua biashara kubwa zenye kuleta kodi nyingi na kuajiri watu wengi kwa mkupuo huku zikilipa wafanyakazi wake mamilioni ya mishahara.
Halafu unazalisha machinga wa kutosha wa kuuza vibanio vya kuanikia nguo na sumu ya panya.

Baadaye unapita majukwaani unalaani "Urais ni terrible job"
 
Wakuu hali ni mbaya kariakoo na viunga vyake, wamachinga wamefunga mitaa yote na baraza zote, hili jambo mkuu baba alizungumzie, hii nchi ni yetu wote, sio wamachinga peke yao. Muheshimiwa baba tuonee huruma na sisi wengine tunaotumia barabara za maeneo ya kariakoo na viunga vyake, wamachinga kwa sasa wamekuwa na jeuri kuliko hata FFU(Fanya Fujo Uone).

Kama kariakoo na viunga vyake vimekuwa ni soko rasmi la wamachinga basi serikali ipige marufuku magari kupita maeneo hayo kwa usalama wa watu na mali zao, maana msukumano uliopo wa wamachinga na waenda kwa miguu ni hatari sana kwenye magari.

Mkuu baba jaribu tu hata kutoka kimya kimya upite maeneo ya kariakoo na viunga vyake uone wananchi tunavyotembea kwa mateso tukihatarisha maisha yetu kwa kugongwa na magari.
Hiyo sehemu nishawahi kuibiwa simu mara tatu kwa msukumo wa watu sasa hivi nikienda simu naicha home yaani ni zaidi ya kero
 
Jivumilie tu, mkuu! Waache wamachinga watafute rizki yao ya halali! Ukiwazuia hapa, watakwenda wapi na hali ya ajira jinsi ilivyo hapa nchini???? Lakini naunga mkono hoja kuwa magari yasiruhusiwe kwenye mitaa za Kariakoo! Huko Ulaya karibu miji zote zina barabara ziitwazo Pedestrian Streets - kuendesha gari, pikipiki mle ni marufuku! Watu wanatembea kwa raha bila kuhofia magari!
 
Mimi nilijua ni mim peke yangu nimeona hiyo kero.unajua unaweza fikiri unawasaidia wamachinga kumne unawaharibia.wamejaa kila mahali hata hamna pa kupita.huwezi kwenda na watoto kkoo eti uwanunulie nguo haiwezekani watapotea.sasa hivi watu wengi wanaenda Tandika,mwenge na kwingine lakini sio kariakoo.wanaweza wakakupora mchana kweupee wanadai serikali imewaruhusu.kile kinachoendelea kariakoo sio biashara na genge la wahalifu linazalishwa.wanaweka biashara kila mahali.unaamka asubuhi unakuta mtu ameshaweka banda lake la biashara kwenye eneo lako unawafukuza na kuwaambia hili eneo ni langu.imekua kero sanaaaaa.kwanini wasipatiwe maeneo sahihi?
 
Kkoo hakuna pa kupita kwa kweli,yaani inabidi yanakopita magari ndio tubanane nayo ni hatari Sana.

Najiuliza tu viongozi hawaoni?
 
Jamii forum ondoeni haya makorokocho ya krismass mlioweka yanatuumiza macho tunashindwa kusoma. kwaninani hajui tupo kwenye msimu wa krismass??
😂😂😂 Wanajua tunajua Mkuu Ila 'Wanakazia na Kunogesha'..!!
 
Mbona Kikwete aliwajengea wamachinga majengo maalum huko Gerezani, lakini walikuta hakuna wanunuzi pale!!! Hakuna sehemu yenye mzunguko mkubwa wa fedha hapa nchini, kama Kariakoo! Halafu Kariakoo inakufanya uwe makini, ukizubaa kidogo unaliwa! Ni shule mmoja tosha ya kujifunza uchanja!!!!!!
 
Back
Top Bottom