Kariakoo ni kero, machinga wamejaa kila kona

hili ni tatizo maana hata wenye maduka hawauzi na wameona watafute wamachinga wawe wanatoa mzigo dukani waje wauze nje maana dukani haingii mtu kutokana na msongamano na vingi vya dukan vipo nje so serikali ingetenga maeneo rasmi ya machinga maana machinga kumfanya mshindani wa mwenyeduka utamuua mwenyeduka ambae analipa kodi ya pango, kodi ya bidhaa na baadhi ya hela nyingi za halmashauri, so wamachinga wapelekwe walikotengewa nasie tukiwa na shida nao tutawafuata maana sie ndo twwenyeshida ya kununua bidhaa, maduka yawe huru japo watu tuweze kupita viunga vya maduka kufanya yaliyotupeleka
 
Jamii forum ondoeni haya makorokocho ya krismass mlioweka yanatuumiza macho tunashindwa kusoma. kwaninani hajui tupo kwenye msimu wa krismass??
Jifanye kama unajikuna boss.
 
Ndo naelekea huko nikitokea posta. Nna hamu ya kubanwa banwa, nina mwaka sijapita kwenye mtaa wenyewe msongamano. Sina kitu chochote nnachoenda nunua. Nimevaa dera na raba za kunifanya Hata nisipatwe na matope, kisha nikitoka narudi kisutu kunywa juice ya miwa yenye tangawizi na ndimu.

Muwe na siku njema nyote.

Cheers.
 
Tanzania is remarkable a stupid giant country ( uchumi wa machinga) CCM must fall
 
Jivumilie tu, mkuu! Waache wamachinga watafute rizki yao ya halali! Ukiwazuia hapa, watakwenda wapi na hali ya ajira jinsi ilivyo hapa nchini???? Lakini naunga mkono hoja kuwa magari yasiruhusiwe kwenye mitaa za Kariakoo! Huko Ulaya karibu miji zote zina barabara ziitwazo Pedestrian Streets - kuendesha gari, pikipiki mle ni marufuku! Watu wanatembea kwa raha bila kuhofia magari!
Shaka-Zulu unapajua Kariakoo na unayoyasema? hebu kakodi mlango. kule Lumumba ndipo walipowekewa wakauze chini brbrni
  1. hao wenye maduka na wanalipa kodi ya pango ili wateja wawafuate Kariakoo unawaweka wapi?
  2. kodi za TRA wanalipa wamachinga au waliopanga mitaa hiyo
  3. unajua mali walizotandaza wamachinga vibarazani wanazuia maduka yasiuze na endapo unakanyaga au kupamia ili uingia dukani ni kiama?
  4. leo ukiuziwa kitu fake katika kona fulani na bila risiti ukirudi hutamkuta tena na huna pa kulalamika
Makonda hakufanya kosa kuwaondoa na kuwataka warudi Machinga complex na kwingineko
Machinga ni janga la kitaifa hawazalishi ila kuongeza matatizo na kuiharibu biashara ngazi ya kati, wao wanachukua mali tusizozizalisha (vibanio, maua, na product za China) kwanii wasiende kulima?
 
Am 199% agreed with u. Our country is trash with no substantial planning #_Yani machinga anaheshimika wakati hazalishi machinga ni kijakazi wawaw China tu
 
upo sahihi kabisa
walimu na wafanyakazi wamechanganyikiwa hela hawaioni mafao yao yameyuka wameambiwa sasa watalipwa 25% ya mikupuo yao (mfanyakazi unastaafu badala ya kupokea milioni 85 ukajijengee nyumba unaambiwa chukua 21 au 17 milioni baada ya kukatwa KODI)
wamachinga take home per day ni km 100,000/ kwa hiyo sasa wanaweza jenga nyumba wakati walimu na wafanyakazi hiyo laki ni kwa mwezi baada ya kulipa mikopo na madeni
 
Acheni watu wajipatie riziki ukitaka comfortability kaa kwako.
Naunga mkono hoja ya magari kuzuiwa kupita huko.
 
Jivumilie tu, mkuu! Waache wamachinga watafute rizki yao ya halali! Ukiwazuia hapa, watakwenda wapi na hali ya ajira jinsi ilivyo hapa nchini???? Lakini naunga mkono hoja kuwa magari yasiruhusiwe kwenye mitaa za Kariakoo! Huko Ulaya karibu miji zote zina barabara ziitwazo Pedestrian Streets - kuendesha gari, pikipiki mle ni marufuku! Watu wanatembea kwa raha bila kuhofia magari!
Mkuu sasa mizigo itafikaje hapo kariakoo wakizuia magari, kwani ninavyofahamu kariakoo ni sehemu ya kibiashara
 
Wakuu hali ni mbaya kariakoo na viunga vyake, wamachinga wamefunga mitaa yote na baraza zote, hili jambo mkuu baba alizungumzie, hii nchi ni yetu wote, sio wamachinga peke yao. Muheshimiwa baba tuonee huruma na sisi wengine tunaotumia barabara za maeneo ya kariakoo na viunga vyake, wamachinga kwa sasa wamekuwa na jeuri kuliko hata FFU(Fanya Fujo Uone).

Kama kariakoo na viunga vyake vimekuwa ni soko rasmi la wamachinga basi serikali ipige marufuku magari kupita maeneo hayo kwa usalama wa watu na mali zao, maana msukumano uliopo wa wamachinga na waenda kwa miguu ni hatari sana kwenye magari.

Mkuu baba jaribu tu hata kutoka kimya kimya upite maeneo ya kariakoo na viunga vyake uone wananchi tunavyotembea kwa mateso tukihatarisha maisha yetu kwa kugongwa na magari.
KAPICHA MKUU TUONE NA VITAMBULISHO VYA TSH20000
 
1 na 2 - wamachinga wameanza kurasimishwa na kitambulisho, kwa hiyo wataanza kuchangia Hazina.
3 - Kila mtu na riziki yake! Wenye maduka wanao wateja maalum. Isingekuwa hivi, wangefilisika mapema!
4 - Kila mtu na akili zake. Ukifuata bei nafuu ujue kuna risks zake! Let Buyer Beware!

Shaka-Zulu unapajua Kariakoo na unayoyasema? hebu kakodi mlango. kule Lumumba ndipo walipowekewa wakauze chini brbrni
  1. hao wenye maduka na wanalipa kodi ya pango ili wateja wawafuate Kariakoo unawaweka wapi?
  2. kodi za TRA wanalipa wamachinga au waliopanga mitaa hiyo
  3. unajua mali walizotandaza wamachinga vibarazani wanazuia maduka yasiuze na endapo unakanyaga au kupamia ili uingia dukani ni kiama?
  4. leo ukiuziwa kitu fake katika kona fulani na bila risiti ukirudi hutamkuta tena na huna pa kulalamika
Makonda hakufanya kosa kuwaondoa na kuwataka warudi Machinga complex na kwingineko
Machinga ni janga la kitaifa hawazalishi ila kuongeza matatizo na kuiharibu biashara ngazi ya kati, wao wanachukua mali tusizozizalisha (vibanio, maua, na product za China) kwanii wasiende kulima?
 
Jivumilie tu, mkuu! Waache wamachinga watafute rizki yao ya halali! Ukiwazuia hapa, watakwenda wapi na hali ya ajira jinsi ilivyo hapa nchini???? Lakini naunga mkono hoja kuwa magari yasiruhusiwe kwenye mitaa za Kariakoo! Huko Ulaya karibu miji zote zina barabara ziitwazo Pedestrian Streets - kuendesha gari, pikipiki mle ni marufuku! Watu wanatembea kwa raha bila kuhofia magari!
Wajenge flyover hapo!
 
Hi Nchi ilishaanza kustaarabika, hawa machinga walikuwa na nidhamu atleast barabara zilikuwa wazi mchana na wao jioni walikuwa ndio wanaingia kupiga kazi. KKoo ilikuwa mchana inapendeza unaigia na kutoka kwa urahisi, Mwenge, Tazara Ubungo zote barabara za waenda kwa miguu zilikuwa safi. Mzee baba alipoingia tu sijui kwa mahaba au kwa kuamini hawa ndio walipa kodi na wapiga kura wake akawapa uhuru usio na mipaka.

Sasa wanagenga vibanda vya magunia na kuwa uchafu mkubwa, hata wajenzi wa barabara nadhani wanafanya kazi kwa tabu sana kwenye hizo interchange.

Pita barabara ya airpot kwenda Tazara kina mama na masufuria yao wanapika kwa kuni pembeni ya brabara nankumwaga ukoko kwenye mitaro. Zamani walikuwa wanapika majumbani na kuja kuuza tu chakula pale kwa muda na kusepa. Sasa ukipita utaona majibu meusi na mafiga tu. Mpka nawahurumia wenye viwanda vyao wengine waliweka garden nzuri mbele ya office/show room zao sasa mbele unakuta mama ntilie kakaa pele na masufuria.

Wanahaki ya kutafuta kipato lakini iwe kwa utaratibu endelevu mwenye kuzingatia mandhari na mazingira yetu.

Kwa hawa wamachinga warudi tu Mtwala wakalime korosho, kisha wa walioiga hii biashara nao warudi mikoa yao wakaendeleze kilimo.

Umekimbia umande arafu unataka kukaa mjini kutujazia barabara tu(joking)
 
Back
Top Bottom