Shaka-Zulu
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 432
- 831
Wajenge flyover hapo!
Nimeipenda jina Shoctopus, halafu hoja pia sio mbaya. Cheers!!!
Wajenge flyover hapo!
Yako wapi hayo mabaruti?Wamesikia !!! wameondoa yale yaliyokuwa yanamwagika kama mchanga kuanzia juu kuelekea chini yamebaki haya mabaruti tuu
Hizo kauli za wapinzani. Awamu hii imeimarisha sekta ya biashara kupita maelezo.Mbona nasikia biashara hamna, wamejaa wanafanya nini?!!
hiyo miale unayoiona kama mliuko wadhani ni niniYako wapi hayo mabaruti?
😀wabongo wameshindikana.Mbona nasikia biashara hamna, wamejaa wanafanya nini?!!
Kweli halafu ndo watavitumia kupigia kura.!vitambulisho si wanavyo !!
nina wasiwasi kama wewe Shaka Zulu ni mfanyabiashara au ulishawahi fungua kibanda ukalipia Kodi, Stamp, Takataka, Service Levy. ulinzi. umeme.TRA nk1 na 2 - wamachinga wameanza kurasimishwa na kitambulisho, kwa hiyo wataanza kuchangia Hazina.
3 - Kila mtu na riziki yake! Wenye maduka wanao wateja maalum. Isingekuwa hivi, wangefilisika mapema!
4 - Kila mtu na akili zake. Ukifuata bei nafuu ujue kuna risks zake! Let Buyer Beware!
Hi Nchi ilishaanza kustaarabika, hawa machinga walikuwa na nidhamu atleast barabara zilikuwa wazi mchana na wao jioni walikuwa ndio wanaingia kupiga kazi. KKoo ilikuwa mchana inapendeza unaigia na kutoka kwa urahisi, Mwenge, Tazara Ubungo zote barabara za waenda kwa miguu zilikuwa safi. Mzee baba alipoingia tu sijui kwa mahaba au kwa kuamini hawa ndio walipa kodi na wapiga kura wake akawapa uhuru usio na mipaka.
Sasa wanagenga vibanda vya magunia na kuwa uchafu mkubwa, hata wajenzi wa barabara nadhani wanafanya kazi kwa tabu sana kwenye hizo interchange.
Pita barabara ya airpot kwenda Tazara kina mama na masufuria yao wanapika kwa kuni pembeni ya brabara nankumwaga ukoko kwenye mitaro. Zamani walikuwa wanapika majumbani na kuja kuuza tu chakula pale kwa muda na kusepa. Sasa ukipita utaona majibu meusi na mafiga tu. Mpka nawahurumia wenye viwanda vyao wengine waliweka garden nzuri mbele ya office/show room zao sasa mbele unakuta mama ntilie kakaa pele na masufuria.
Wanahaki ya kutafuta kipato lakini iwe kwa utaratibu endelevu mwenye kuzingatia mandhari na mazingira yetu.
Kwa hawa wamachinga warudi tu Mtwala wakalime korosho, kisha wa walioiga hii biashara nao warudi mikoa yao wakaendeleze kilimo.
Umekimbia umande arafu unataka kukaa mjini kutujazia barabara tu(joking)
nina wasiwasi kama wewe Shaka Zulu ni mfanyabiashara au ulishawahi fungua kibanda ukalipia Kodi, Stamp, Takataka, Service Levy. ulinzi. umeme.TRA nk
kwanza jibu hii post
wewe unatumia simu huwezi yaonaYako wapi hayo mabaruti?
Ni kweli mkuu hapo ni mkakati wa 2020, lakini inaweza isiwe rahisi hivyo, kwani ukweli uliowazi vijana wengi sio wapiga kura, na 2015 walifumuka vijana wengi kwa ajili ya kutaka mabadiliko, na waliamini CCM ingetoka madarakani, sasa kuna uwezekano mkubwa wa 2020 vijana wasiwe tegemeo tena, sababu wamejua lazima CCM itashinda tu kama ilivyofanyika 2015.Hilo halifanyiki kwa bahati mbaya kaka ni mikakati 2020! Hali ni mbaya wanaojenga hizo barabara wanawakati mgumu sana ila ndio hivyo lakini pia isitokee gari kuacha njia maana yatakua maafa ya kujitakia tuombe Mungu aepushe hili.
Hapo sasa!Mbona nasikia biashara hamna, wamejaa wanafanya nini?!!
Unajua hesabu vizuri....wamachinga wapo wengi kuliko wenye maduka.....malizia kujijibu mwenyewe....Hii nchi bana
Unaua biashara kubwa zenye kuleta kodi nyingi na kuajiri watu wengi kwa mkupuo huku zikilipa wafanyakazi wake mamilioni ya mishahara.
Halafu unazalisha machinga wa kutosha wa kuuza vibanio vya kuanikia nguo na sumu ya panya.
Baadaye unapita majukwaani unalaani "Urais ni terrible job"