Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Ndugu yangu Ritz inaonekana huko mbali sana na mitaa hiyo.Waambie hao jamaa kama wameamua kuchoma moto makanisa kwa kitendo cha kuukojolea msahafu na ile filamu ya kumtusi Mtume basi wachome makanisa ya kiyahudi yanayoitwa Sabato.Hawa jamaa ni wachokozi sana.Tangu kuingia haya makanisa imekuwa tabu.Na kama ni kwa suala la kufanyiwa dhulma ndani ya Tanzania kwa kuwekewa vikwazo vya elimu na ajira basi waanze na yale ya wakatoliki.
kanisa halichomwi.
kinachochomwa ni jengo tu!.........hapo ndipo uwelewa umewapita kushoto.
Kanisa litaendeea kuwepo na kustawi......majengo ni sawa na nguo tu, ikiibiwa na wanyang'anyi au kuchomwa utatafuta nyingine.
 
IMG_2337.jpg

Sasa huyu kamanda ni belligerent wa upande gani maana hizo zare zake mmh?
 
mbona wanawabembeleza sana natamani mkapa angekuwepo haya yasingetokea. piga shaba tu hao wengine wenye busara watazaliwa
 
Watz tujue tu kuwa nchi inasheria na inauwezo wa kudeal na yeyote alimradi hataki kufuata sheria halali za nchi,makamanda wakekula kiapo cha utii kulinda nchi na mipaka yake so kama watz tutambue kuwa si busara hata kidogo kuchokonoa amani tulonayo.
Wote ambao wanadhani wapo maeneo yenye vurugu na hawahusiki ni vema wakaondoka jeshi la polisi na vyombo vingine havina wa kumuonea haya endapo yupo katika maeneo hayo.

eti eeeenh,ila sheria haigusiiii mafisad?????huna la kuchangia nyamaza,,,,,,
 
schlumberger,

Mkuu, unataka kutuambia suluhisho ndio vurugu kwa wakristo wote?? Leo hii muislam mmoja aki ukashifu u kristo basi wakristu woote waanza na kuchoma misikiti and vice versa. Ukisoma vizuri hadthi ile ya mtume, imeeelekeza uungwana na kutofanya mambo kwa jazba na pupa kabla ya kutafakari!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom