KAZIMOTO
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 1,073
- 324
nipo maeneo ya kurasini, kuna helkopta ya polisi imepita katika anga hili muda huu. Sijui inaelekea wapi?
kwa sasa helikopta iko magomeni inapita juu.
nipo maeneo ya kurasini, kuna helkopta ya polisi imepita katika anga hili muda huu. Sijui inaelekea wapi?
Huna cha kuandika kaa kimya,,,,,,,
Kama kavaa kisuruali pedo asje akajaribu kwani atakula shaba
Jamani hapa kariakoo maeneo ya Bigborn kuna FFU wa kutosha. baadhi ya askari walikuwa wanashauri watu wafunge maduka. Duh! hawa watu wanataka kuwa na nguvu zaidi ya polisi sasa. Sijaweza kubaki sana kuona kinachojiri kutokana na usalama wangu.
Mkuu kweli kariakoo pamechafuka.
Mitaa ya Mchikichi, Congo, Msimbazi, Aggrey kute kumenuka.
kwa sasa helikopta iko magomeni inapita juu.
Hatari sana hapa sasa hata kuandika siwezi
Msimbazi na kidongo chekundu ni mapambano askari mmoja naona anavuja damu.
tayari nimefunga duka kariakoo hali tete
sas mkuu ukiondoka tulio mikoani tutapateje taarifa?Jamani hapa kariakoo maeneo ya Bigborn kuna FFU wa kutosha. baadhi ya askari walikuwa wanashauri watu wafunge maduka. Duh! hawa watu wanataka kuwa na nguvu zaidi ya polisi sasa. Sijaweza kubaki sana kuona kinachojiri kutokana na usalama wangu.