Ni kweli nimepata taarifa tayari kariakoo waislamu wameshakinukisha, kuna mabom na helkopta ya polisi inatanda anga la kariakoo, cha muhimu ni kuchukua Tahadhali hapo ulipo, kuepuka vurugu hizo
Malori ya Polisi katika picha:Nikiwa maeneo ya Magomeni naziona gari nne aina ya roli zenye wanajeshi wa kutosha wakiwa na silaha za kutosha wakielekea mitaa ya Kariakoo/Jangwani.
Kwa upande wa hapa Magomeni, msikiti wa kichangani wametulia baada ya FFU kupiga mabomu ya machozi matatu na gari la kuwasha limepaki katika mlango wa kuingilia msikitini.
Natimiza haki yangu ya raia mwema,
Jamaa wa JWTZ wanaingia na mafuso mitaa ya Jangwani wakitokea njia ya kigogo. Aidha kuna DCM kama 5 zilizowashusha waislam zinawasubiri
Nipo hapa ktk mtaa wa uhuru na msimbazi, hali ni mbaya,mabomu yanapigwa hovyo na police, hali ni ya wasiwasi wanainchi wanakimbia hovyo.
Police wametanda mitaani zaidi ya mabomu 30 ya kutoa machozi yamelipuliwa na bado wanaendelea kupiga.gari la police linapiga kingora kuwasihi raia wote waondoke eneo la kariakoo. Kwa kweli hali ni mbaya, maduka yote yamefungwa.
Kisa ni maandamano ya waisilamu yaliyopangwa kufanyika leo.
nipo maeneo ya kurasini, kuna helkopta ya polisi imepita katika anga hili muda huu. Sijui inaelekea wapi?
Kariakoo I mean, device hii inasahihisha wakuu
Angalia heading mkuu, ni hatari hapa, Sijui Kama tutarudi
Kariakoo I mean, device hii inasahihisha wakuu
Mambo ya Kariakoo bwana, waweza kukuta ndugu wanagombea maitiFunguka zaidi, nini kimesababisha mabom?
Guys hamjui shughuli ya mabomu eti,just stay calm jamaa atakuja na story iliyoshiba badae macho yakishapoa lol
Kule ndiyo kumejazana misukule na mazezeta...!Mitaa ya Mchikichi, Congo, Msimbazi, Aggrey kute kumenuka.
Mambo ya Kariakoo bwana, waweza kukuta ndugu wanagombea maiti
Mitaa ya Mchikichi, Congo, Msimbazi, Aggrey kute kumenuka.
kwanini usimuulize rubani,,,,,,,kwani helkopta ya polisi kupita hapo jambo la ajabu,,,,,,????
Msimbazi na kidongo chekundu ni mapambano askari mmoja naona anavuja damu.