Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,593
- 25,712
Lissu ni kiboko aisee Mkuu aamini macho yake anatamani siku zirudi nyuma ili atengue zile kauli zake za vitisho ila ndio too late...
Mnampa presha JP
Kweli mnajua kutegeneza ndiyo maana Wabelgiji wamemtengeneza Msaliti Lissu.
Tatizo wanadhani upinzani ni wabunge na viongozi kumbe wapinzani halisi ni wananchi wenyewe ambao huwezi kuwanunuaWatawala, kaeni mkijua wananchi mmechoka. Mnayoyafanya ni kuwatia wananchi hasira na kumpandisha Lissu. Polisi, Tiss, Tume ya Uchaguzi, na Msajili. Rudini kwa wananchi kabla ya muda kuisha. Mtajuta sana kwa madhambi yenu maana mwaka huu hakuna kuiba kura
Siku ya kufa kwa nyani kila mtu unateleza. CCM yangu naichinja rasmi kutokana na manyanyaso niliyoyapata chini ya CCM, Polisi na Magufuli...
Hiyo yomi ni ya 1925.....lol
Huo sasa ndio upumbavu wenyewe milionao nyie inzi wa kijani. Yaani watu wanaohudhuria mikutano ya upinzani wengi wanakuwa sio wapiga kura na hawajajiandikisha lakini wanaohudhuria mikutano yenu ndio wapiga kura.Hawezi kusuffer heart attack ,kama ww ambaye huna ufahamu wa mathematics. Katika watu waliohudhuria ni1.Wangapi watapiga kura?2.Wangapi wamejiandikisha?3.Wangapi ,watapigia cdm?Kuwa na mahesabu mkononi,kwa kuwa hizi no issue za hesabu tu.Kama ulisoma history ndio matatizo ya kudai wot e no wapiga kura was cdm.
Hahahaha it's too late MatagaKumzuia huyu msaliti wangemuua maana habari zake sizpend huyu nyambafu naatashndwa tu
Karatu nasi loale....
Acha kupotosha ndugu.Pia acha propoganda mfu.Leo tulikuwa hapa Makambako.Wamekuja watu wengi tu .Na wengine wamedhuiliwa kuingia .Sasa hayo malori yametoka wapi?Wanafunz wametoka wapi?Halafu kudai kuwa wanaoudhuria mikutano ,ya Lissu ,no wapiga kura was cdm,sio kweli.Nikuulize cdm INA wanachama wangap?Pili nikwambia wanaokuja kwenye mikutano ya lissu wengi wanakuja kumshangaa tu,vyuma vyake mwilini.Huo sasa ndio upumbavu wenyewe milionao nyie inzi wa kijani. Yaani watu wanaohudhuria mikutano ya upinzani wengi wanakuwa sio wapiga kura na hawajajiandikisha lakini wanaohudhuria mikutano yenu ndio wapiga kura.
Sijui unatumia kipimo gani kujua hawa ni wapiga kura na wale si wapiga kura.
Hivi watoto wa shule mnaowalazimisha wahudhurie mikutano yenu ni wapiga kura?
Kama mnadhani mnapendwa hivi kwanini sasa mnasomba watu kutoka maeneo ya mbali na eneo la mkutano kuja kuhudhuria hiyo mikutano?
Mbona sasa hamuishi kuandaa fiesta ya wasanii kila mkutano?
Ina maana hakuna namna mnaweza kuwashawishi watu wahudhurie bila kutumia matamasha?
Yaani mnachokifanya ni sawa na kujitekenya halafu unaanza kucheka mwenyewe. Mnazidanganya nafsi zenu wenyewe, poor you.
Hahahahahaha Lissu ongeza spana. Jingalao kachanganyikiwa hukuuuLeo lissu kashindwa kufanya mikutano Arusha na Hai mmeamua kuja na picha ya kuchakachua
Hivi unashida gani?? umeolewa! maana kuchelewa kuolewa hupunguza uwezo wa kufikiri!!Jaribu kuzoom hiyo picha ya kwanza muelewe nini maana ya kuchakachua. Tafadhali naomba mzoom
Baba yako alishindwa kumununua kipindi cha Matrida buliani!ataweza sasahivi!?Lema anataka kuuza jimbo
Rais wa JamiiForums, Twitter, Facebook, InstraNimeona msafara wa Tundu Lissu akisindikizwa na police jioni hii kutoka karatu kwenda Moshi aisee.
Speed ya magari ni kubwa mno naomba Rais wetu mtarajiwa usalama wake uangaliwe kwa umakini.
Wasije kumtengenezea ajali maana maadui ni wengi mno na walishamtishia kwenye simu Kumfanyia kitu kibaya kingine.
Rais wetu ashauriwe vizuri wanaotembea naye magari yapunguze mwendo maana mwendo unakuwa mkali mno.
Usalama wa Rais unakuwa mdogo Sana nashauri uangaliwe utaratibu mzuri wa yeye kuwai anakoenda usalama ni muhimu kuliko kitu chochote.
Yupo njiani anaelekea Hai. Mitego ya jana tumeipangua kwa ustadi mkubwa.