Karatasi za kura zimewaili jana Z'bar kutoka Afrika Kusini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karatasi za kura zimewaili jana Z'bar kutoka Afrika Kusini

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Oct 27, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Hivi inakuwaje karatasi za kura ziwasili jana Z'bar kutoka Afrika Kusini? Kwa nini zinakuwa za mwisho kupelekwa kwenye majimbo ya uchaguzi mbali na vifaa vingine? Bakhresa ni Mzanzibar, na kule Tunduma ilisemekana lori lake lilikuwa na karatasi za kura kutoka Afrika Kusini, je sio kweli hiyo story ya Tunduma? Hizi karatasi kutoka Afrika Kusini zinawalakini, kwani kwa nini JWTZ walinde sehemu nyeti?

  Kwa nini kusiwe na harmonisation, sasa angalia NEC UK na ZEC RSA. NEC walisema walipokea karatasi nusu mzigo, je, ile nusu ya mzigo imekwisha wasili? Au nusu mzigo unatokea South Africa?

  Wazanzibari na wana-CUF amkeni, Zenj pana shaka!!

  Source: HabariLeo, 26/10/2010.
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  Ondoa wasiwasi jukumu letu ni kuzuia kwenye vituo vya kupiga kura mchezo mchafu usifanyike
   
 3. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kumbuka mkurugenzi wa NEc alisema zimechapwa uingereza, wakati bunge liliambiwa zitachapwa nchini, utata mtupu.
   
 4. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hakuna giza litakalofanikiwa kuitawala nuru. Hata wafanye nini uchakachuaji utawageuka!
   
Loading...