Karani wa sensa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karani wa sensa...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mphamvu, Aug 29, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Ni mtu anayefuata kwa ubovu baada ya kichaa, anapata shida sana kutafuta poi la kujitambulisha, espeshale mwenye nyumba anapokuwa amekunja uso wa ndimu.
  Anaongoza kwa kuwa na vitu vingi ambavyo havina msaada katika maisha ya kawaida.
  Ana kalamu ya risasi aina ya 2HB, ambayo hata yeye hajui kwanini anaitumia, sanasana ukimkazania atakujibu "Ni kwa madhumuni ya sensa."
  Teh teh teh... Ana mabegi mawili, wakati moja pekee latosha kuweka mizigo yote aliyonayo.
  Anakuwa ameweka chaki mifuko yote, ana makaratasi ambayo hajayapanga kwa utaratibu kiasi kwamba hata yeye mwenyewe hajui lepi limewekwa wapi. Mara nyingi ukimuona ni kama mtu asiyejua mahali anapoenda, akijaribu kugonga mlango huu na ule... Loh!
  Mara nyingi amechoka na kukata tamaa, miguu ikiwa na vumbi kama vile anauza bidhaa za promosheni.
  Basi tu, karani wa sensa ni mtu wa kumuonea huruma na kumpa ushirikiano wote anaostahili.

  [​IMG]
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  duh pole yao!
   
 4. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hahahahhha!!! cwapatii picha wakiingia kwenye nyumba za wapemba wanapoozaje!!
   
 5. E

  EPHRASEkE Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole yao, lakini hao wapemba kwani huwaga wanafanya nini majumbani kwao?

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 6. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  sensa imefeli :bolt::bolt:
   
 7. G

  GTesha JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  we mtoa mada una matani na sie eeh?
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Kaazi kweli kweli.
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  jamaa wamepiga pamba na bling bling za nguvu wakati karani yuko hoi hapo
   
 10. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,714
  Likes Received: 8,269
  Trophy Points: 280
  Heri yako ww umewaona live..mimi naishia kuwaona kwa tv na picha ivi
   
 11. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Daddy kwani hauko Tanzania
   
 12. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hahaaaaaaa eti karan wa sensa
   
 13. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,182
  Likes Received: 10,531
  Trophy Points: 280
  Mi sijahesabiwa mpaka sasa hivi..
  sijui nigome wakija....kwanini wachelewe?.
   
 14. W

  Wajad JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Afadhali huyo amevaa sare, baadhi nimewaona wamevaa nguo chakavu na yeboyebo
   
 15. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,368
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  kwamba hujahesabiwa mkuu mentor au wewe ni mmoja kati ya wanaopinga sensa?
   
 16. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Wapemba soo, kujichekesha kunahusika aisee...
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Naah, not yet.
  Mphamvu stands to be corrected...
   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Tena utani wa ngumi teh teh teh teh...
   
 19. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,714
  Likes Received: 8,269
  Trophy Points: 280
  Waliogoma ndo wanatembelewa na makarani...sisi tulio tayari wala harufu yao hatuisikii!??
   
Loading...