Karafuu ina madhara na faida

Bibie Mamndenyi watu wengi humu ndani ni wavivu kutafuta maji ya maswali yao yamo humu humu lakini ni wavivu kutafuta sasa tutafanyaje ndio wajibu wetu kuwasaidia watu . Ninakutumia PM hutaki kunijibu ndio umeninunia kwanini kulikoni bibie? Umenibadilikia namna hivi? ahhhhhhhh

Mzizimkavu nakufurahia sana jinsi ambavyo unatiririka kuchambua maradhi na unavyotoa ufafanuzi na tiba mbadala. Mungu akutunze sana ili tuendelee kupata ushauri wako . Watu wamesaidika sana humu JF...
 
NAMNA YA KUTUMIA KARAFUU KAMA SCRUB

Kwenye leo tena tumekuwa na kitu kipya toka msimu uanze watu mbalimbali wanatoa mafunzo au tips za namna ya kutumia vitu vinavtotuzunguka kufanya jambo fulani.

KARAFUU

namna ya kutumia karafuu kusugua mwili(scrub).

Unachukua karafuu kavu iliyosagwa ule unga unauchanganya na mafuta ya nazi na liwa halafu unasugua

mwili mzima kuondoa uchafu.

Hii inaweza kumfanyia hata mumeo dada.Kuanzia usoni,mwili wote na miguu unatoa uchafu wote.

Karafuu ni dawa nzuri sana ya kuondoa uchovu au maumivu ya viungo kwani inapenya kabisa kwenye

mwili.Sio tu kuscub mwili hata kwa massage ni nzuri

Karafuu hutokana na mmea wa mkarafuu. Kiungo hiki huweza kutumika peke yake au kwa

kuchanganya na viungo vingine. Kiungo hiki husaidia kuleta hamu ya kula na

kuboresha uyeyushwaji wa chakula tumboni. Vilevile karafuu husaidia kupunguza kichefuchefu, kutapika na kuharisha.

Ni nzuri ikitumiwa katika supu, mchuzi, juisi ya matunda yenye uvuguvugu au vinywaji vingine vilivyochemshwa.

Benefits of Clove Oil:

Clove oil is derived from the clove bud, which is used as a spice in all Indian homes. When the clove buds are distilled, clove oil is extracted from them.
Clove oil is rich in calcium, iron, sodium, phosphorous, potassium and vitamins A and C. Clove oil is known for its anti-bacterial, antiseptic, antiviral and stimulating properties.

clove oil thumb

Benefits of Clove Oil:

1. Clove oil for teeth:

Clove oil is an ancient home remedy for dental care due to its germicidal properties. Clove oil is added in many dental products like mouth wash and toothpaste. It is very effective for relieving dental pain, mouth ulcers, tooth ache and sore gums.

The strong smell of cloves removes bad breath and eases throat pain. Dilute 4 drops of clove oil in a cup of warm water. Use this to gargle daily twice a day for instant relief.
However you should be careful as excessive clove oil can cause burns.

2. Infections:

Clove oil is widely popular for its antiseptic properties. It is used for wounds, cuts, fungal infections, prickly heat, and athlete's foot. One can also use it for curing insect bites and nettle stings. Dilute the clove oil by adding carrier oils like almond oil or coconut oil.
However people with sensitive skin should not use clove oil as it may cause burns.

3. Skin Care:

Many of the acne fighting skin creams and lotions contain harsh chemicals which may work but have various side effects. Clove is quite effective for curing acne as it contains a compound "eugenol", which has antibacterial properties. It can clear cystic acne and kill the infections thus reducing swelling.

Add 2-3 drops of pure clove oil in your skin cream or lotion and use it regularly, specially on the target areas. This would drastically reduce the appearance of acne but you should be very careful with the amount of clove oil used.

4. Relive Stress:

Traditionally in India, people used to indulge in special clove oil massages to relive stress and pain. Clove oil has aphrodisiac qualities which act as a stress buster. It reduces mental exhaustion, fatigue, anxiety and tensions as it has a relaxing effect on the mind.

5. Headache:

Since clove oil provides soothing effect on the mind and body, it is also very helpful for curing headaches. In 1 teaspoon of sea salt, add 2 teaspoons of almond or coconut oil and 2-3 drops of the clove oil. Combine well and use it to massage the fore head. It gives instant cooling and provides relief from headache.

6. Respiratory problems:

I am sure many of our mothers must have told us to chew a clove pod to cure sore throat. It is because clove oil has cooling and anti-inflammatory effect on the nasal cavity and the throat. It helps in clearing the nasal passage and thus is useful for respiratory problems like cough, cold, sinusitis and asthma.

7. Ear Ache:

Is regular earache troubling you for a long time? Then try clove oil home remedy to get instant relief from earaches. In 2 teaspoons of sesame oil, add 3-4 drops of pure clove oil and warm the mixture. Slowly apply this mixture inside your ears and keep for some time. This will provide you immediate soothing effect.

8. Indigestion:

Do you know why clove is such an important spice in Indian dishes? It is because clove aids in healthy digestion and thus provides relief from digestion related problems like hiccups, motion sickness, indigestion and flatulence.

9. Diabetes:

Studies have shown that pure clove oil maintains insulin levels in the blood and thus is useful in curing diabetes. It also strengthens metabolism of the body by maintaining the blood circulation and thus reduces body temperature. Clove oil also purifies the blood.

10. Cosmetics and perfumes:

Clove oil is widely used as massage oil and thus added in many skin creams and lotions. It is also added in soaps due to its antiseptic property and soothing effect. Due to its characteristic aroma, it is also used in making perfumes.
If you are familiar with any other clove oil uses, do not forget to share them with us.

Kwenye diabets kusema clove oils unamaanisha tunywe mafuta yake??
 
Kwenye diabets kusema clove oils unamaanisha tunywe mafuta yake??
Ndio unakunywa Mafuta ya karafuu kwenye maji ya uvuguvugu unatia kijiko 1 ndani ya glasi ya maji ya uvuguvugu unakoroag na kunyw ainasaidia kurekebisha maradhi ya kisukari. Lakini ukitaka dawa ya kutibu Maradhi ya kisukari ninayo kunipata mimi
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta.
 
niliwahi kusikia ukichemsha punje chache ukaacha ipoe na ukanywa kila cku asubuh kabla ya kula chochote ni dawa ya pumu,je doct hili ni kweli?
 
Karafuu huwa ina faida sana kwenye meno , uimarisha meno na kuwa makakamavu ,huua vijidudu kwenye meno, huondoa harufu kali mdomoni na kutuliza meno yanayouma kama limetoboka, na pia kuzuia damu kutoka kwenye fizi...
Mimi binafsi huwa natumia karafuu kwa ajili ya meno yangu na imenisaidia sana huwa natafuna karafuu iliyokaushwa vile vimiti vyake muda wa asubuhi na jion kipindi cha kulala au wakati wa kupiga mswaki unaweza kutanguliza kutafuna karafuu then ukapiga mswaki yan baada ya hapo kinywa unakisikia safi kabsa na meno unaona yamegangamala na kuongeza kujiamini....
Hii ni tiba nzuri sana kwa meno...
Namimi naanza kuanzia Leo ,,
 
niliwahi kusikia ukichemsha punje chache ukaacha ipoe na ukanywa kila cku asubuh kabla ya kula chochote ni dawa ya pumu,je doct hili ni kweli?
Hata Mimi nimewahi sikia kusoma humu jamii forum lakini haikutolewa ufafanuzi,dose hasa Na je ni vikonyo au buds waliandika loweka punje sita usiku kunywa kwa siku kumi Na tano bado sijaweza sifahamu unaloweka kipande kipi Na maji ya namna gani.

Mimi imenisaidia sana nilikua napiga sana chafya asubuhi au nikienda kariakoo Sanaa hadi macho yanavimba yanawasha Na kuwa mekundu mwanzo niliogopa sana nikawa siendi kkoo ,baadae nikaanza kutafuna angalau punje mbili kila nikianza safari ya kkoo ukweli imeisha namshukuru Mungu sana

Asante Mzizi Mkavu
 
Karafuu zinapatikana wapi mkuu, nahitaji.
 
Faida za karafuu ni nyingi kama wakuu walivyo tiririka huko juu, ila itumike kwa kiasi kuna kemikali inaitwa 'eugenol' na nyingine zikizidi mwilini zina athari zifuatazo; kutokwa na damu kwa wingi ukiumia, matatizo ya koo, kupumua, mouth sensitivity, toxicity, matatizo ya figo na ini, just to mention a few. Binafsi kabla ya kufanyiwa operation niliambiwa nisitumie karafuu kwa wiki mbili.
 
Asante sana
 
Karafuu zinapatikana wapi mkuu, nahitaji.
Kwenye maduka hasa ya viungo vya chakula,sokoni nk

Back
Top Bottom