Karafuu ina madhara na faida

Asante mkuu, kuhusu pumu vipi, umewahi kusikia kama karafuu inasaidia.
Nimewahi sikia ila sijathibitisha,walitoa uzi humu kwamba loweka vikonyo sita kila usiku maji kikombe kimoja then mwenye pumu anywe kwa siku kumi na tano kila asubuhi
 
Mzizi mkavu binafsi naomba simu yako au email yako plz.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App +905013460377 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Back
Top Bottom