Msafiri Duke
Member
- Oct 27, 2011
- 20
- 4
Karafuu ina madhara na faida gani endapo ikiliwa.?
Pia inatumika kutibu tatizo la harufu mbaya ya kinywa-Halitosis.Faida Ya Mafuta karafuu ni dawa kwa ajili ya kuchua misuli, wakati mwingine inatumika kama kiungo kwenye chakula na chai lakini pia karafuu ambayo hajasagwa inaweza kutumika kama dawa ya tumbo, meno, uji pia
inachangia kuleta harufu nzuri inapochangaywa kwenye chakula. Kwa hiyo nakushauri utumie Mafuta ya Karafuu kuchuwa mwili wako unapouma usitumie kwa njia ya kujipakaa kila siku. Ukitaka kutumia Mafuta kwa ajili ya
kujipakaa tumia mafuta ya Zaituni au mafuta ya Uto au Mafuta ya nazi pia unapomaliza kuoga kila siku ni mazuri kiafya hayo mafuta na kwa ajili ya kulainisha ngozi yako iwe nyororo.
Mkuu Zion Daughter Mimi ni Dokta wa Tiba Mbadala ukiona kitu nime Google nitakiweka kwa lugha ya kiingereza ukiona nimeweka kwa lugha ya kiswahili ujuwe hicho kitu ni changu mwenyewe upo hapo na mimi? Kila kitu huwezi kupata katika ku Search Google sio rahisi.Hivi wewe MziziMkavu ni dokta wa tiba mbadala??au no utundu wako wa kugoogle?
Mkuu Msafiri Duke Basi hata kuweka neno (Like) kubonyeza ni unashindwa ni Big Deal Mkuu?Thanks Doctor.
Sawa.Nitaanza kuku -consult kwa PM..au utanitoza?Mkuu Zion Daughter Mimi ni Dokta wa Tiba Mbadala ukiona kitu nime Google nitakiweka kwa lugha ya kiingereza ukiona nimeweka kwa lugha ya kiswahili ujuwe hicho kitu ni changu mwenyewe upo hapo na mimi? Kila kitu huwezi kupata katika ku Search Google sio rahisi.
umecertify kabisa au ndio kama ule wa kei jei na wa majimarefu,????????????itakuwa nikudhalilisha fani yetu ya udactarimkuu zion daughter mimi ni dokta???????????????????? wa tiba mbadala ukiona kitu nime google nitakiweka kwa lugha ya kiingereza ukiona nimeweka kwa lugha ya kiswahili ujuwe hicho kitu ni changu mwenyewe upo hapo na mimi? Kila kitu huwezi kupata katika ku search google sio rahisi.
Mkuu Zion Daughter Nitakusaidia tu inshallah. karibu wangu Zion DaughterSawa.Nitaanza kuku -consult kwa PM..au utanitoza?
Bibie Mamndenyi watu wengi humu ndani ni wavivu kutafuta majibu ya maswali yao yamo humu humu lakini ni wavivu kutafuta sasa tutafanyaje ndio wajibu wetu kuwasaidia watu . Ninakutumia PM hutaki kunijibu ndio umeninunia kwanini kulikoni bibie? Umenibadilikia namna hivi? ahhhhhhhhMziziMkavu kweli wewe ni mzizimkavu,
hauchoki japo swali moja linaweza rudiwa hata mara mia, unajibu tu
hongera sana MziziMkavu
Bibie Mamndenyi watu wengi humu ndani ni wavivu kutafuta maji ya maswali yao yamo humu humu lakini ni wavivu kutafuta sasa tutafanyaje ndio wajibu wetu kuwasaidia watu . Ninakutumia PM hutaki kunijibu ndio umeninunia kwanini kulikoni bibie? Umenibadilikia namna hivi? ahhhhhhhh
nivea wewe si daktari hata kama sikujui...kwani tofauti ya DR na mganga ni nini? mimi sioni tofauti zaidi ya lugha ambapo mganga ni kiswahili na dr ni kiingereza...kama ushawahi enda hospital hujawahi ona hata kwenye mlango wameandika mganga mkuu?umecertify kabisa au ndio kama ule wa kei jei na wa majimarefu,????????????itakuwa nikudhalilisha fani yetu ya udactari
NAFIKIRI NI MGANGA WA TIBA ASILIA NA SIO DR. AISEE
Faida Ya Mafuta karafuu ni dawa kwa ajili ya kuchua misuli,
.
Ndio unafaa sana huo unga wa karafuu ukichanganya pamoja na mafuta ya Zaituni au mafuta ya nazi au mafuta alizeti pia inafaa kwa kuchuwa mwili na masaji bibie.Kwa ajili ya kuchua ni mafuta tu au hata unga uliosagwa unafaa pia kwa ajili ya kuchua ukichanganywa na mafuta mengine kama ya zeituni?
Karafuu ina madhara na faida gani endapo ikiliwa.?
Karafuu ina madhara na faida zipi endapo italiwa?
Bibie Mamndenyi watu wengi humu ndani ni wavivu kutafuta maji ya maswali yao yamo humu humu lakini ni wavivu kutafuta sasa tutafanyaje ndio wajibu wetu kuwasaidia watu . Ninakutumia PM hutaki kunijibu ndio umeninunia kwanini kulikoni bibie? Umenibadilikia namna hivi? ahhhhhhhh