Kapuya, hii kali...! Ipe maneno picha hii

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,842
JAMANI NAFIKIRI KILA MTU AKIWEKA

SENTENSI YAKE INAYOFANANA NA PICHA HII
ITAKUWA VIZURI.....LOL

kapuya.jpg
 
Hiyo hapo......lol

mimi nimebaki speechless lol

nimecheka mpaka basi....lol
 
Wacha amalizie uhondo wake. Mambo binafsi hayajengi taifa!!!
 
Naona kimoyomoyo anasema....

Wacha nijinafasi...kama uwaziri nishatemwa,masha yenyewe mafupi..lol
 
Wekeni sentensi zunu basi hapo....

Ipatie maelezo hiyo photo lol
 
Na huyo binti hapo anasemaje????

Tukitoka hapa kesho daladala bye bye..lol
 
Yani kamkandamizia kabisa halafu tazama suluali imenyanyuka inaelekea mambo yalisha changanya na mawazo yake hayakuwa tena katika mziki sidhani kama hata alikuwa anaendana na beats!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom