GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Umejificha humu hata sura Yako haijulikani unalaumu mtu alietoka live na akiwa ni mwanajeshi captain wa anga nyota 3 akili huna
 
Sema tu kimeanza umana ,
 
Nyie mkoa nje si muendelee kumuongelea Trump tuachieni ya Tanzania tudeal nayo
Tumekuachieni Tanzania m deal nayo. Hakuna anayewaingilia., lakini ukweli mtaambiwa tu.

Watu wanamsifia Kapteni Tesha anayemsifia Magufuli.

Mna akili nyie?
 
Soon utashangazwa, relax
 
Machawa yasiyo elewa lolote
 
Kuna jamaa yangu mnafanya wote kazi ya kuvichambisha vibibi huko ughaibuni ameniambia uwa mnavipigisha punyeto kwa kuvichezea viharagwe mpaka vinakojowa
 
Tumekuachieni Tanzania m deal nayo. Hakuna anayewaingilia., lakini ukweli mtaambiwa tu.

Watu wanamsifia Kapteni Tesha anayemsifia Magufuli.

Mna akili nyie?
We ndio huna akili unamsema mtu aliejitoa hadharani. Huku wewe ukiwa keyboard warrior magufuli ni rais wetu watanzania na tulikubali kazi zake we kama ulikua humkubali ulikua jizi au cheti feki
 
Umejaa false dichotomies na contradiction.

False dichotomy ya kwanza ni kufikiri mtu aliye nje hatakiwi kuwa na mchango Tan,ania. Huu ni ujinga tu.

False dichotomy ya piki ni kuona mtu anayekupinga amejaa hofu. Wewe kama unafanya mambo ya kijinga utapingwa tu, jadiki hoja, usichomeke habari ya hofu. Mimi nakupinga kwa sababu unaleta habari za kijinga, si kwa sababu nina hofu.

Hiyo Kapteni Tesha mnayemshangilia ni mtu anayemfagilia Magufuli. Magufuli alikuwa dikteta aliyepiga marufuku mikutano ya hadhara iliyoruhusiwa kikatiba. Alinunua wanasiasa na kuruhusu wananchi kutekwa.

Sasa ndiyo mnataka kurudi kwenye hawa watu wanaomsifia Magufuli?

Nikikwambia kushangilia hawa watu ni ujinga utasemaje nina hofu wakati kama huo ni ujinga ni ujinga tu?

Mnatapatapa. Na lazima muambiwe kwamba mnatapatapa.

Wewe ni nani mpaka uwasemee Watanzania kuwa hawanihitaji? Huu ndio udikteta wenyewe, unataka wewe ujichague kuwa ni msemaji wa Watanzania. Huu ni ujinga tu.
 
Umri unachekeshaga, maana ukiwa mtoto, ukaumwa unadhani dunia yote inaumwa. Nakuhakikishia ni watu wachache wameisikiliza. Na wanaoshangilia na kusangilia ni vijana wachache sana

Wachache kwako inamaanisha nini?

Kama JF nyenyewe ina watu million zaidi ya mbili. Hapo hujaingia WhatsApp zinaxosambazwa. Hivi hata watu million 10 wakifikiwa kwako bado ni wachache....!? Malaga baho na Ubozi wako.
 
Kitu kuwa hakijawahi kufanyika haina maana hakina contradiction, haina maana hakikisoleki.

Kapteni Tesha anataka kuturudisha kwenye mfumo wa Magufuli. Kasema anampenda sana Magufuli. Kasema anamlilia sana Magufuli.

Hajaona tatizo jinsi Magufuli alivyovunja katiba kukataza mikutano ya siasa, hajaona tatizo Magufuli alivyoongoza kampeni ya kununua wanasiasa wa upinzani, hajaona tatizo Magufuli alivyoongoza utekaji wa watu.

Hii ndiyo Tanzania mpya mnayoitaka ya kurudi kwenye u Magufuli?
 
Diaspora wakibongo msaada pekee mlionao ni hiki kingereza kisicho na msingi.
Wewe kama hujui Kiingereza na hujafikia viwango vya kujibu kwa lugha yoyote pita kimya kimya tu.

Tutasumbuana bure hapa tu utanijazia ad hominem na non sequitur logical fallacies kama hii.

Hujui kitu.
 
Fact ni kwamba Watanzania wengi wako desperate na wanatapatapa.

Wanakemea serikali ya utekaji, isiyofuata demokrasia na ya uvunjaji wa katiba kwa kusifia mapinduzi ya kijeshi yanayochochewa na mwanajeshi anayemsifia Magufuli, mtu aliyekataza mikutano ya kisiasa iliyoruhusiwa kikatiba, aliyevunja demokrasia na kununua wanasiasa, aliyebariki utekaji wa watu.

Wanataka Tanzania mpya ya kuturudisha kwenye u Magufuli?

Sasa tukisema hawa watanzania wamechanganyikiwa, wana false hopes, wanatapatapa tu, that is a fact.
 
Sio lazima wanajeshi wawe mbele unakuwa na serikali ya technocrats, wataalamu kuweka mambo sawa kwa miezi 18 hivi huku nyuma wakikingiwa kifua na jeshi kama ilivyofanyika Nepal. Baada ya miezi 18 uchaguzi unafanyika ulio wazi, huru, haki chini ya katiba mpya, tume, tume na mahakama huru.

Hiyo serikali inaweza kuongozwa na Warioba na mawaziri wazalendo, waadilifu, waaminifu, walinyooka wasio na makandokando ndani ya hiyo serikali kama Shivji, Heche, Mbatia, Mpina, Polepole, Tesha, Kalemani nk.
 
Kumpenda JPM hakumaanishi anataka tawala zinazokuja zifanye kila alichofanya yeye, kuna mabaya mengi alifanya Magufuli, lakini watu wanataka yale mema aliyofanya yaendelezwe.

Sasa kuwasema watanzania na hulka yao ya kutaka kila kitu wanachosikia sio sawa kwa maoni yangu. Watu wamechoshwa na kutekwa, kuuwawa, wizi na ubadhirifu wa mali za umma uliokithiri. Wanataka mambo yabadilike.

Kuyabadilisha kwa diplomasia haiwezekani, jeshi la polisi, mahakama, bunge, serikali kuu vyote havitendi haki.

Unaweza kwenda kupanga mstari kupiga kura katika hali ya sasa mkuu?
 
Wazalendo tumepata matumaini hai,ila wasio wazalendo ni maumivu,masononeko,makasiriko hofu na hili zaidi dhidi ya wazalendo.
 
Sasa Kiranga upo Marekani, kwa nini ya huku Tz yanakuumiza na wakati haya affect Marekani kwa lolote?
Hebu acha sisi wa huku tufanye tunayoyaka, acha kutusema sema. Hatutaki nchi yetu kuwa failed state, wengine hatuna sehemu nyingine tofauti na Tanzania, pakiharibika hapa hatuna sehemu nyingine ya kuita nyumbani. Wewe uko mbali, huwezi elewa
 
Kapteni Twsha anataka kuwarudisha kwenye u Magufuli. Kamlilia sana Magufuli. Kasema anampenda sana Magufuli.

Maana yake hakuona baya kwenye utawala wa Magufuli.

Nawashangaa sana.

Hawa Watanzania wanaopinga serikali ya Samia inayovunja demokrasia, inayobariki utekaji, ndio hao hao wanashangilia mapinduzi ya kijeshi yanayochagizwa na Kapteni Tesha anayemsifia sana na kumlilia Magufuli, aliyeasisi mfumo wa kununua wanasiasa wapinzani, aliyebariki utekaji wa watu?

Kapteni Tesha kamsifia na kumlilia sana Magufuli.

Hawa Watanzania wanaomsifia Kapteni Tesha hawapendi serikali kandamizi au hawampendi Samia tu?

Wanataka Tanzania mpya ya kuturudisha kwenye u Magufuli?

Hawaoni contradiction hapo?
 
Hakuna yanayoniumiza, nasema tu huu ujinga.

Kwani mtu kusema huu ujinga mpaka uumizwe?

Si mtu anaweza tu kusema huu ujinga kwa kukataa ujinga tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…