GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna atakae serikali ipinduliwe na jeshi...

Kila mtu anataka tutumie njia za kidemokrasia, njia za kiraia kupitia uchaguzi kuifurusha CCM itoke madarakani...

Lakini wao CCM hawaitaki kuifuata njia hii. Wameamua kutumia nguvu kujilazimisha kubaki madarakani..

Sasa wananchi tunapoona mwenye nguvu zaidi kuwazidi CCM (yaani JWTZ) likiwa upande wa wananchi, likiwa upande wa haki, ni kwanini unadhani wananchi tusiwape support yetu? NO WAY, TUTAWAPA.....!!

Wananchi tulioumizwa, kwa hakika tupo tayari kuli support Jeshi kuchukua hatamu za utawala..!!

Ni heri kuwa chini ya utawala wa wanajeshi Wazalendo kuliko kuwa chini ya utawala wa kihayawani wa CCM hii iliyooza chini ya mkono wa shetani Jezebel...!!
 
Kwa upeo wangu, Maandamano yapo, Ari na nia ipo, bila jeshi pia inawezekana. Je unakumbuka 2015? Msimu wa kifo cha akwilina.. vituo vingapi vya polisi vilichomwa? Misafara ilipigwa mawe, maandamano kila kukicha, kama sio Magu ulikua ni mwisho wa utawala wa chama.
Nchii hii inasikitisha badala ya jeshi la wananchi kutetea na kusimamia maslai ya nchi, linawafuga na kuwakinga mafisadi na majizi
 
Mkuu mabadiliko huwa hayaji kwa ghafla, Kila kitu huwa kinakuwa taratibu, ndio mana hata watoto walioitwa wa 2000 kwa sasa wanaitwa wazee, usimdharau mtu kwa kuwa jana ulimuona anaogopa, TUJIPE MUDA
 
Hakuna tofauti yoyote. Unafikiri kwa kiwango hiki tulichofikia cha ufisadi, wizi wa mali na rasilimali za umma, mauaji, utekaji kuna tofauti gani kati ya utawala huu na utawala wa kijeshi?

Ni bora wanajeshi wanaojitambua na kulinda maslahi na rasilimali za nchi kuliko hili genge linalolinda maslahi ya familia chache,wengine wote wakituona kama watumwa, vijakazi wao tulipe kodi wazitumbue hovyo.
 
Kuishi ughaibuni kusafisha vinyeo vya vizee vya kizungu wanajiona maisha wameuapatia kila kitu cha nyumbani wanaponda tu.
 
Majitu ya mtandao bhana yan hata sielewi kbs hv una akili timamu unawezaje shabkia ccm na serikali yake yan viongoz wawe na kinga ya kutoshtakiwa, wenza wao walipwe mafao, ukikoa utekwe uuwawe, no maji, no dawa seriously, mafao ya wastaafu kikokotoo ila mafao yao no kikokotoo ***** wallahi.
 

Nadhani unaweza ukawa hujampenda TESHA kwa sababu flani flani. Lakini TESHA hajatoa matumaini fake kwa yeyote na watu hawajamfurahia TESHA kwa sababu ya ambacho anaweza fanya au kasema atafanya. Watu wamependa Ujasiri wa TESHA. Bila kuangalia Jina lake na asili yake. Bila kuangalia cheo na nafasi yake.

KITENDO CHA KUMWITA SHETANI, SHETANI NDICHO WATU WAMEPENDA. NI MWANZO WA KUAMSHA NA WENGINE WALIOLALA. TESHA NI SHUJAA KWA ALICHOFANYA.

Kama nlivyosema awali. Mengine yawe yasiwe ila tu TESHA amefanya jambo la kijasiri. Mbegu ya mbuyu ni ndogo sana ukilinganisha na mbuyu wenyewe. So mi nadhani Tesha hata kama hatulipendi jina lake. Tukubali ameonesha Ujasiri. Kitendo tu cha yeye kujibiwa na Jeshi. Ni ushindi mkubwa kwake.
 
Diaspora asilimia kubwa ni hopeless kubwa sana
 
Ndiyinmaana tunasema - watanzani hatufuatilii, tunajaa mhemko.

Karibu Nchi zote zinazoongozwa kijeshi - au serikali za kijeshi zilizojivika koti la kisiasa zinaongoza kwa ufisadi, nepotism na freedom of speech hakuna hata ile chembe.

Nipe mfano wa serikali ya kijeshi bora isiyo na elements hizo tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…