GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Umeandika tafakuri nzito na yenye mizania.
Ushauri wangu ni kwamba, TUENDELEE KUWAAMSHA WATANZANIA. Tusichoke
 
ili uwe chawa lazima Kuna criteria mbili
1. Kuna kitu kizuri unanufaika nacho Kupitia uchawa
2. Kuna kitu kibaya unahofia kitakutokea hvo unaamua kuwa chawa.

Nachoshangaa kuhusu Hawa wabeba boksi wa JF ni kwanini wanakuwa na itikadi za kichawa?

Wanaogopa nini au Wanafaidika nini?

Wenzao kina Mange etc. Hawaogopi kuwa against maana hawawezi kutekwa huko waliko.
Hawa wa hapa wana manufaa Gani?

Au ni watoto wa viongozi?
 
Wanajifanya wana busara nyiiingi, na maandishi yao marefu marefu kama mafarisayo na waandishi wanafiki. Wakitokea watu genuine wakajiweka on the line kutetea nchi hawa jamaa wanaanza kuja na vijembe na negativity kibao.
You really defined him
Huyu hana jema, he loves seeing the suffering of the peoppe

Huyu kule kwa wados anajiita MAGA
 
"Kapteni Tesha" alisema atarudi tena. Sijui kwa mazingira ya KIJESHI alikuwa anamaanisha nini!
Polepole kila siku anarudi tena, gwajima hivyohivyo na sijui alipotelea wapi🙆‍♂️ Ila hakuna cha maana kinafanyika.

Wote watachoka "kurudi tena" maana watanzania hata sio wa kuhangaika nao. Nawashangaa hata wanaojisumbua😪
 
Kuna kitu nimegundua kwenye huu uzi. Kuna synducate. Kuna kuzazi fulani hivi cha jf ambacho kinaishi nje, kinapenda kuona hali za watanzania wenzao katika unyonge kila leo. Kizazi hiki kinaisho nje ya TZ kwa hali ya ukiwa na upweke mwingi. Wakichungulia Tanzania wanaona kuna fukuto na wanapenda kuona hali za sintofahamu zikiendelea. Hawataki kusikia kuna jambo la heri, hata kwa imani tu. Kila jambo wanapinga kwa kejeli.

Chunguza wachangiaji wa mada hii wanaomuunga mleta mada utabaini hilo. Kama mmeshindwa kuishi ulaya na hamuwezi kurudi Tz, tuachieni struggle zetu, aidha ziwe real or utopia. Revolution zozote zilianza kwa chokochoko kama hizi, hivyo kuja hapa na kuanza kukejeli inainyesha kiasi ulivyo desperate. Sadists nyie!
 
Ki vyovyote vile ishara ya Moshi kidogo ni dalili Kuna Moto chini mkuu

Haijarishi Moto nikiasi gani

kumbuka njiti moja ya kiberiti huchoma nyumba nzima
 
Ndio kusema Mkuu kuwa unatamani utawala wa kijeshi??
 
Mnapata muhao baada ya kuona CCM inakataliwa hadi jeshini?

Sasa tulieni na bado tupo hatua za mwanzoni kabisa, huko tunakoenda kila mtu atapagawa.
 
Ndio kusema Mkuu kuwa unatamani utawala wa kijeshi??
Mimi sina shida na utawala wowote kiongozi.Kwani utawala wa kiraia wa TANU badae CCM umenipa nini mimi?

Wanajeshi wanakuja kupindua nchi hii haina pingamizi
 
Watu wanashabikia tu..alikuwepo JPM..watu walilia..kijeshi sijui wataliaje
Watanzania ni watu tuliojaa mhemko na ulimbukeni fulani hivi, ni watu wa msimu.. ndiyo maana hata kikombe cha Babu kilipata vibes sana. Tides zikibadilika na mambo yanabadilika kabisa.

Kwanza mwa jeshi ketu lilivyo structured ni ngumu sana - tena sana ku engineer a serious challenge ya mapinduzi ya kijeshi.
 
Nyinyi mnaoendelea kudharau hizi mambo ndo mnazidi kuchochea hali mbaya

Kwanza jeshi kukubali kuwa kuna wanajeshi wanaharakati maana yake kuna kitu hakipo sawa kuna mgawanyiko pia lakini pia kutokuwa specific kwa kumkataa yule jamaa pamoja na aliyoyasema kunaleta maswali pia

Tuombe haya yaishe salama
 
Kwa mtazamo wako wewe ndio umeona ivo ila tambua kuwa kuna kundi kubwa la waTanzania nyuma ya captain
 
Tuko pamoja mkuu umeandika ukweli mtupu.
Watu wa kuleta mabadiliko wapo, ila watu wa kuletewa hayo mabadiliko hawapo.

Watanzania wengi bado tumelala na tumejaa ujinga ujinga mwingi.
Kupindua serikali siyo jambo dogo kama kupindua kifuu Cha nazi.

Kwa Tanzania bado.
 
Mimi sina shida na utawala wowote kiongozi.Kwani utawala wa kiraia wa TANU badae CCM umenipa nini mimi?

Wanajeshi wanakuja kupindua nchi hii haina pingamizi
Kama utawala wa saizi unaona ni mbaya hasa kwenye mawazo mbadala - utawala wa kijeshi utakuwa mbaya zaidi mara elfu - ndiyo maana Burkina fasso wamejitoa hadi ICC, uandhani kwanini? Wabagaze watu waeezavyo.

Mimi kwangu utawala wa kiraia wa hovyo hovyo ni bora kuliko utawala wa kijeshi
 
Wewe hukumuelewa kapten alisema watawala wamezoea kuwa watanzania ni walewale lakini yeye alisisitiza this time mambo ni tofauti kwa maana hii kuna kitu
 
Sio hivyo tu mkuu,

Tanzania bado tuna matatizo ya kawaida na wanaharakati wanashindwa kuelewa hali halisi.

Mfano eti Simiyu - fisi wenye hereni ndiyo tatizo kubwa linalokusanya umma - unadhani huyo mtu utamwambia aandamane kupinga serikali?

Siku ile High Court - wafuasi wa CDM wakati wanapigwa halafu kuna watu wanapita barabarani kwenye bajaji na maisha yanaendelea..

Heche kakamatwa Kariakoo (eneo lenye watu wengi) na maisha yanaendelea...

Hata Capt. Tesha kwa kusema aliyosema ni dhahiri watamfuta jeshu wake, then what? (Ataweza kwenda msituni?)- angekuwa anajua mapinduzi yanawezekana hata asingepiga kelele, saahizi angekuwa Ikulu tayari..
 

Mh Tundu Lissu amedai electoral reforms kidemokrasia munamuita mhani ...haya sasa wazee wakazi wameingia...mavi yana gonga vyupi MaCCM

 

Attachments

  • Screenshot_2025-10-05-08-04-11-648_com.facebook.lite~2.jpg
    100.9 KB · Views: 23
Wengine tunamiliki mishangazi Iko wizara nyeti serikalini kwahiyo hiko ni kitu wengine tunanufaika nacho 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…