Kapteni Tesha alipotelea wapi?

Kapteni Tesha alipotelea wapi?

Kama hamjui ndiyo hii sasa, yule bwana baada ya ile press yake, Polepole akaona mambo si ndiyo haya sasa yameiva...aisee ndiyo akadakiswa mapemaa kama kuku wa kisasa bandani.

Wanasema Duniani hapa mwamini Mungu wako tu.
 
Bora yeye alikuwa na ujasiri wa kusema. Wewe uliyejificha kwenye fake ID, umefanya nini? Unadhani kumsema mwenzako ndo inakufanya uonekane mjanja?
 
Most likely Tesha is dead. Walimkamata akina Mafwele. Jeshi lilimtupa kwa wauaji.

Kuna wakati walikuwa naye Mtwara. Huenda wamemuua.
Captain Tesha alikuwa genuine.

Kuna siku tutajua yote.
Kwa taarifa yako, Kepten Tesha ni project ya waliomteka Polepole. Angalia zile picha za chumba ambacho Polepole alikuwa anatumia kuongelea, then linganisha na ile meza na background ya Kepteni Tesha. Zina ufanano. Pili kumbuka script aliyokuwa anaisoma Tesha, halafu linganisha na maudhui ya Polepole aliyokuwa anaongea. Ni mwandiko wa Polepole.

Kepteni Tesha aliongea tarehe 4/10 na Polepole alinyakuliwa tarehe 6/10, na hatujamsikia Kepteni Tesha tena. Watekaji walimtengenezea mtego Polepole kupitia Kepteni Tesha kama panya anavyotegwa kwa mfupa wa samaki, kisha Polepole akaingia mazima
 
Jaribu wewe kujirekodi Yale maneno hata dakika 2 tu uwaseme hao watu aliowasema tesha huku ukiwa na gwanda halafu uje hapa useme ni project nahisi unaongea kutumia makalio
 
Jaribu wewe kujirekodi Yale maneno hata dakika 2 tu uwaseme hao watu aliowasema tesha huku ukiwa na gwanda halafu uje hapa useme ni project nahisi unaongea kutumia makalio
Wewe mpumbavu sana na ndiyo maana Man U wanawapiga wanavyotaka. Kumbe fans wenyewe wa Arsenal ni kama wewe
 
Nilipomuona yule Ngosha jamaa yake JPM anaongea mbele ya kamera huku ujumbe wake ukipingana na kile alichokuwa akikisema Captain Tesha nikajua huyu muasi wa jeshi siku zake za kuendelea kuvuta hewa ya oksijeni zinahesabika.
 
Mimi nlishangazwa na watu wanakwambia Colonel Polepole eti wa jeshi la NATO
Mange kimambi alistahili kabisa kuwaangamiza vijana ability ya Reasoning ni ndogo sanaa eti tokeni Jeshi liko na nyinyi litawalinda kapten tesha naye nina wasiwasi naye si mtu aliyeoko Jeshini lakini pia Siyo AI pale kuna Raia alivishwa ile uniform na kuongea.
 
Hivi Kinjekitile Ngwale alikuwa ni shujaa kwa kuwaunganisha watu wapigane vita vya Maji Maji, au alikuwa ni mtu aliyewahadaa watu kwa kuwaambia risasi za Mjerumani zitageuka maji, watu wakapigana, wakauawa wengi sana?

Nimemfikiria Kapteni Tesha kusemwa ushujaa wake kwa muktadha wa kuwahamasisha watu wapigane vita kama vya Maji Maji.
Issue ya kinje iko biased sana. Vita ya majimaji ilidumu kwa takribani miaka miwili. Unataka kusema miaka yote hiyo watu hawakushituka?
 
Sijalalamika.

Hujui maana ya kulalamika?
Hili lisiwe hoja.
Hoja ni huko aliko yeye na wengine wengi, wewe na mimi hatujui kunafanyika nini; ambalo ndilo jambo ulilogusia katika ujumbe wako.
 
Issue ya kinje iko biased sana. Vita ya majimaji ilidumu kwa takribani miaka miwili. Unataka kusema miaka yote hiyo watu hawakushituka?
Hiyo miaka miwili mbona midogo, watu waneshikiwa akili kwa miaka kama 6,000 na zaidi kuhusu mambo ya dini na Mungu na mpaka leo hawajastuka, ukiwaeleza ukweli wanakuwa wakali sana kutetea uongo wao.

Sasa tofauti ya issue ya Kinje na imani za dini ni ipi?

Tena hiyo ya Kinje ina ngivu zaidi kwa sababu adui mnamuona huyu Mjerumani, vita mnapigana hapahapa hamsubiri pepo.

Do not underestimate the stupidity of the general population.
 
Sahihi kabisa
Siamini kuwa wakati ule jeshini hapakuwa moto, na bado naamini kuna moto.
Haya yaliyotokea hayawezi kamwe kutogusa eneo hilo kwa vyovyote.

Hata kama hatuoni ishara za kuguswa sasa hivi; alama zitajitokeza tu baada ya muda..

Mteuzi alipanga safu yake kimkakati sana; kwamba hakuacha mwanya wa wasiopenda aliyonuia kuyafanya hawakuwa na nafasi ya kufurukuta. Sasa ni mchezo wa paka na panya.
 
Back
Top Bottom