Kapteni Tesha alipotelea wapi?

Kapteni Tesha alipotelea wapi?

It’s honestly too easy kukaa nyuma ya keyboard kubeza and label people waongo, you need to remember the credit belongs to those actually in the mud, Captain Tesha, Lissu, na Mdude are paying a price ambayo wewe huwezi kuifikiria, they are out there taking the heat huku wewe na akili zako za hovyo uko busy kubeza their efforts , sure October 29 wasn't perfect, we know that, lakini heri nusu ya shari kuliko the deafening silence of a coward, at least they stood for something
😭😭😭😭
 
H


Akina ma

Akina mange na maria hata wasingefanya walichofanya,yale yangetokea
Mipango ilitoka nyumba za ibada na sijui wamenyimwa nini!?
Yaani kuna waumini watiifu walipewa vijana wawasimamie na kuhakikisha wanatoka,na walipewa mafunzo ya kuhujumu
Ndiyo maana unakuta kinondoni hakuna nyumba yenye msiba lakini watu walikula chuma
Polisi zaidi ya ishirini waliuawa,siyo kwa mawe bali silaha za moto
You’re obsessed with witch hunt; however, you don’t realize that the witch is the CCM government itself!
 
Obsessed!? 🤣 🤣..in politics nothing happens accidentally but planned
Who plans to demonstrate when there’s no reason to demonstrate? What the government is currently scrambling to do was demanded by substantially all reasonable stakeholders well before the 2025 General Elections, but the CCM government mazafakas pretended to be smartasses only to learn it the hard way!
 
Toka mwanzo wa andiko lako nilitaka kukumbusha hili; kumbe na wewe unalijuwa.

Sasa unalalamikia kitu gani. Unajuwa alipo Kapteni Tesha wakati huu?
Sijalalamika.

Hujui maana ya kulalamika?
 
Kumuamini Tesha ilikuwa ni ujinga wa kiwango kikubwa sana. Mimi mpaka leo sijakaa nikaziangalia video zake mpaka mwisho maana dakika niliposikia habari zake nilijua tu huyu ametengenezwa.

Kilichonishtua miezi hii michache ni kugundua kuwa kuna watu hawaijui kabisa Tanzania pamoja na kwamba wamezaliwa, wanaishi, wanakula na wanakunya ndani ya Tanzania na wanaapa kuwa wao ni wajanja ila kuna mambo ya msingi yanayoihusu Tanzania ni vipofu kabisa.
Kipindi kile palilua moto,alitengenezwa ili wajue jeshini hali ipoje na kuwaangamiza wote watakosaliti.
 
Mbona Al Jazeera walitoa hiyo taarifa,walisema more than two dozens of policemen died,wakatoa na video maiti ya polisi gen z wakiendelea kuishambulia kwa fimbo
Weka hiyo video hapa tuamini sio kutuandikia maandishi Kila mtu anaweza kuandika
 
Mkuu hata wewe sidhani unajua undani wa Kapteni Tesha. Hata wewe unadhani kitu ambacho hakipo. Kama unajua historia ya kambi ya jeshi na kikosi alichotoka kapteni Tesha ndiyo utajua ni nini hasa kilitokea. Anyways, nikipata muda nitaandika kwa kirefu ili ujue. Kwa kifupi ni kwamba watu ''wakorofi'' na waliochanganyikiwa jeshini wako wengi kweli. Na kikosi cha Airwing ni kama ''kiwanda'' chao. Vitisho kama alivyotoa Tesha viko kila miaka na Tesha alipata umaarufu tu kwa sababu alitumia social media.
Hii story itakuja lini.
 
Back
Top Bottom