PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 940
- 2,160
Unawezaje kuwa dictator halafu ukajari watu?Hapa Afrika, hiyo tunayoisema ni demokrasia, kwa uhalisia ni laana tuu.
Bora upate dikteta anayejali watu wake.
Unawezaje kuwa dictator halafu ukajari watu?Hapa Afrika, hiyo tunayoisema ni demokrasia, kwa uhalisia ni laana tuu.
Bora upate dikteta anayejali watu wake.
Hitler alikuwa mbaya kwa Germany?Unawezaje kuwa dictator halafu ukajari watu?
Unaposema democracy haituiwezi hii maana yake ni kwamba hatuwezi kujitawala wenyewe.Ukweli waafrika democracy hatuiwezi sasa mfano pale Uganda kwa museven utasema kuna democrasia! Au hapa bongo utasema tuna demokrasia c bora tuamue kuvunja vyama kuwe na wafalme tu
Kwanini Hitler alishindwa kuwajali raia wote waliokuwa Germany ila akaona kuna wengine wanafaa zaidi kuliko wengine. Kama narrative ya Hitler ilivyo dhidi ya Jews waliokuwa wanakaa huko Germany, je ilikuwa sawa kuwaua?Hitler alikuwa mbaya kwa Germany?
Germany sio jews, nazungumzia kuwapenda watu wako.Kwanini Hitler alishindwa kuwajali raia wote waliokuwa Germany ila akaona kuna wengine wanafaa zaidi kuliko wengine. Kama narrative ya Hitler ilivyo dhidi ya Jews waliokuwa wanakaa huko Germany, je ilikuwa sawa kuwaua?
Unajitoa ufahamu siyo? Shida iko kwenye ''matakwa binafsi'' badala ya ''matakwa ya umma''.Shida iko wapi?
Ushenzi anaofanya Samia kajifunza kwa Magufuli labda somo la uzalendo tu ndiyo amefeli.Upo sahihi mkuu, ndo mana sasa hv Samia amewaachia upinzani kufanya mambo yao kwa uhuru, hakuna aliyefungwa wala kuumizwa 😂
Mbona UK Mfalme hachaguliwi na wananchi wa UK? Na mali zote za UK ndiye anayemiliki wakati yeye halipi kodi?Viongozi wengi wa afrika wanaaminigi watatawala milele mtu kama huyo anaongoza nchi kwa one man show akifariki nchi inarudi kulekule ilipokuwepo
Bc kama JPM alikuwa mzalendo bc amezidi yoteUshenzi anaofanya Samia kajifunza kwa Magufuli labda somo la uzalendo tu ndiyo amefeli.
Niliaambiaga watu wakaniona boyaDemokrasia haikuundwa kwa ajili ya Muafrika.
Jamaa anatinga magwanda na vimaneno vya ushujaa, na mnamuona mkombozi, aaah wapi, Africa ishakuwa corporate hii, africa ni mgodi😂😂
Kama aliivyoingia kwa force atatoka kwa force na vitu vyenu😂, chezea ngozi nyeusi wewe mla matofali aka ugali
- ELI COHEN
- Replies: 22
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Upinzani gani wa MboweKama ilivyokuwa kwa Magufuli, aliua upinzani akiamini kuwa ndiyo maadui wake kumbe maadui alikuwa anakula nao meza moja(Paul Makonda) matokeo yake wakamuua na nchi ikarudi kwa mafisadi papa(wanamtandao).
Unafananisha developed countries na poor countriesMbona UK Mfalme hachaguliwi na wananchi wa UK? Na mali zote za UK ndiye anayemiliki wakati yeye halipi kodi?
Ukoloni umewaadhiri sana nyinyi wenye akili za kupandikizwa na wakoloni.
Amka utakojoa kitandani weweUpinzani gani wa Mbowe
Yan tutawaliwe ndio i mean itUnaposema democracy haituiwezi hii maana yake ni kwamba hatuwezi kujitawala wenyewe.
Huna akili wewe! Ufalme na developed country wapi na wapi. Slavery mentality inakusumbua kichwani mwako.Unafananisha developed countries na poor countries
Unautimamu wa akili kweli