Kapteni Ibrahim Traoré, kashaanza kulewa madaraka

macho_mdiliko

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2008
Posts
28,286
Reaction score
57,004
Wengi waliambiwa lakini hawakusikia. Rais wenu aliyekuwa ''mfano wa kuigwa wa Afrika'', tayari keshalewa madaraka.

Nukuu: ''Demokrasia inaua na watu wa Burkina Faso lazima wasahau kuhusu hilo” Kapteni Ibrahim Traoré, ameiambia televisheni ya serikali ya nchi hiyo.

Kapteni Ibrahim Traoré, ambaye alichukua mamlaka katika mapinduzi ya kijeshi miaka mitatu iliyopita, alidai kwamba Wafrika wengi hawataki mfumo wa demokrasia na kwamba Burkina Faso ina njia yake mbadala, lakini bila kutoa maelezo zaidi ni njia ya aina gani

Traoré awali aliahidi kurejesha utawala wa kidemokrasia ifikapo Julai 2024, lakini miezi miwili kabla ya tarehe hiyo, alitangaza kuwa junta itaongeza utawala wake kwa miaka mingine mitano.
Lakini kama kuonyesha kuwa mwafrika hajafikia level ya kujiongoza, mnamo Januari, mamlaka ilitangaza marufuku ya vyama vyote vya siasa kama sehemu ya mpango wa “kujenga upya taifa.”

Katika mahojiano aliyfanya Alhamisi usiku, Traoré alisema: “Watu wanahitaji kusahau suala la demokrasia. Demokrasia si kwa ajili yetu. Tazama Libya, hii ni mfano halisi,” alisema huyo kiongozi ambaye anajiona kama kama kiongozi wa mapinduzi anayepigana dhidi ya ukoloni wa Magharibi. (mabeberu).
My take: Huu ni mwanzo tu siku si nyingi ataanza mauaji ya wapinzani wake na wananchi wenye mawazo mbadala hawatasalimika!

Source: Captain Ibrahim Traoré says Burkina Faso must 'forget' about democracy
 
Viongozi wengi wa afrika wanaaminigi watatawala milele mtu kama huyo anaongoza nchi kwa one man show akifariki nchi inarudi kulekule ilipokuwepo
Kama ilivyokuwa kwa Magufuli, aliua upinzani akiamini kuwa ndiyo maadui wake kumbe maadui alikuwa anakula nao meza moja(Paul Makonda) matokeo yake wakamuua na nchi ikarudi kwa mafisadi papa(wanamtandao).
 
Na washabiki wa magufuli waliambiwa watengeneze mfumo mpya wakasema Tanzania inahitaji mtu na sio mfumo sasa hivi hawaamini macho yao
 
Wengi waliambiwa lakini hawakusikia. Rais wenu aliyekuwa ''mfano wa kuigwa wa Afrika'', tayari keshalewa madaraka.

Nukuu: ''Demokrasia inaua na watu wa Burkina Faso lazima wasahau kuhusu hilo” Kapteni Ibrahim Traoré, ameiambia televisheni ya serikali ya nchi hiyo.

Kapteni Ibrahim Traoré, ambaye alichukua mamlaka katika mapinduzi ya kijeshi miaka mitatu iliyopita, alidai kwamba Wafrika wengi hawataki mfumo wa demokrasia na kwamba Burkina Faso ina njia yake mbadala, lakini bila kutoa maelezo zaidi ni njia ya aina gani
Traoré awali aliahidi kurejesha utawala wa kidemokrasia ifikapo Julai 2024, lakini miezi miwili kabla ya tarehe hiyo, alitangaza kuwa junta itaongeza utawala wake kwa miaka mingine mitano.
Lakini kama kuonyesha kuwa mwafrika hajafikia level ya kujiongoza, mnamo Januari, mamlaka ilitangaza marufuku ya vyama vyote vya siasa kama sehemu ya mpango wa “kujenga upya taifa.”

Katika mahojiano aliyfanya Alhamisi usiku, Traoré alisema: “Watu wanahitaji kusahau suala la demokrasia. Demokrasia si kwa ajili yetu. Tazama Libya, hii ni mfano halisi,” alisema huyo kiongozi ambaye anajiona kama kama kiongozi wa mapinduzi anayepigana dhidi ya ukoloni wa Magharibi. (mabeberu).
My take: Huu ni mwanzo tu siku si nyingi ataanza mauaji ya wapinzani wake na wananchi wenye mawazo mbadala hawatasalimika!

Source: Captain Ibrahim Traoré says Burkina Faso must 'forget' about democracy
Kama hakuna maendeleo yoyote waliyoyafanya katika kipindi cha uongozi wake kwenye issue za tafiti na kupunguza utegemezi wa nchi za Magharibi au Mashariki hakuna la maana alilofanya tofauti na marais wa nchi nyingine?.
 
Kama ilivyokuwa kwa Magufuli, aliua upinzani akiamini kuwa ndiyo maadui wake kumbe maadui alikuwa anakula nao meza moja(Paul Makonda) matokeo yake wakamuua na nchi ikarudi kwa mafisadi papa(wanamtandao).
Huyu Traore mwisho wake utakuwa kama wa yule Samuel Doe. Siku si nyingi utasikia anaanza kupoteza wananchi na viongozi wenye mawazo tofauti na yake.
 
Wengi waliambiwa lakini hawakusikia. Rais wenu aliyekuwa ''mfano wa kuigwa wa Afrika'', tayari keshalewa madaraka.

Nukuu: ''Demokrasia inaua na watu wa Burkina Faso lazima wasahau kuhusu hilo” Kapteni Ibrahim Traoré, ameiambia televisheni ya serikali ya nchi hiyo.

Kapteni Ibrahim Traoré, ambaye alichukua mamlaka katika mapinduzi ya kijeshi miaka mitatu iliyopita, alidai kwamba Wafrika wengi hawataki mfumo wa demokrasia na kwamba Burkina Faso ina njia yake mbadala, lakini bila kutoa maelezo zaidi ni njia ya aina gani
Traoré awali aliahidi kurejesha utawala wa kidemokrasia ifikapo Julai 2024, lakini miezi miwili kabla ya tarehe hiyo, alitangaza kuwa junta itaongeza utawala wake kwa miaka mingine mitano.
Lakini kama kuonyesha kuwa mwafrika hajafikia level ya kujiongoza, mnamo Januari, mamlaka ilitangaza marufuku ya vyama vyote vya siasa kama sehemu ya mpango wa “kujenga upya taifa.”

Katika mahojiano aliyfanya Alhamisi usiku, Traoré alisema: “Watu wanahitaji kusahau suala la demokrasia. Demokrasia si kwa ajili yetu. Tazama Libya, hii ni mfano halisi,” alisema huyo kiongozi ambaye anajiona kama kama kiongozi wa mapinduzi anayepigana dhidi ya ukoloni wa Magharibi. (mabeberu).
My take: Huu ni mwanzo tu siku si nyingi ataanza mauaji ya wapinzani wake na wananchi wenye mawazo mbadala hawatasalimika!

Source: Captain Ibrahim Traoré says Burkina Faso must 'forget' about democracy
Utamu kunoga.
 
Kama hakuna maendeleo yoyote waliyoyafanya katika kipindi cha uongozi wake kwenye issue za tafiti na kupunguza utegemezi wa nchi za Magharibi au Mashariki hakuna la maana alilofanya tofauti na marais wa nchi nyingine?.
Hana lolote huyu. Ni kama Magufuli alipoingia akawa gumzo lakini akaja kugeuka na kuwa chinja chinja na asiyetaka kukosolewa. Tuombe Mungu uzima mashabiki wake watashangaa
 
Kama ilivyokuwa kwa Magufuli, aliua upinzani akiamini kuwa ndiyo maadui wake kumbe maadui alikuwa anakula nao meza moja(Paul Makonda) matokeo yake wakamuua na nchi ikarudi kwa mafisadi papa(wanamtandao).
Upo sahihi mkuu, ndo mana sasa hv Samia amewaachia upinzani kufanya mambo yao kwa uhuru, hakuna aliyefungwa wala kuumizwa 😂
 
Back
Top Bottom