William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Nitaanzia hapa ndani uwanja wa fujo. Kila mmoja wetu ana utaalamu wa kuongea, lakini ukiangalia uandishi wa hoja na dataz, unagundua haraka haraka kuwa mtoa hoja, hajafundishika katika suala la uandishi. iwe ni insha au majibu ya kitu, kuna kuchanganya vituo, matumizi mabaya ya herufi kubwa na ndogo, mkazo na maandishi yasiyolingana alimradi mtu kaamua kujiongelea na kutoa maoni.
Sasa kama hapa JF tunatapia hizo hatutumii kanuni tulizofunsishwa tangu shule ya msingi hata kuangalia kuwa maneno tuliyoandika tunayapitia kuyasoma tuyaelewe kwanza sisi wenyewe kabla ya kumpa mtu wa nne ayasome, tunafikiriaje Waandishi wa habari Tanzania watakuwa na tofauti na sisi?
Si sisi wana JF tunaojivuna vifua mbele kuwa tumesoma, tunajua mambo mengi, sasa kama kanuni rahisi za uandishi (writing) zinatushinda, je hao wa Tanzania watakuwaje, wawe wamesoma TSJ Buguruni au UDSM?
Je mwandishi ambaye amesomea na hafuati maadili ya uandishi ni bora kuliko mwandishi anayefuata maadili na ambaye hana cheti cha kuonesha elimu yake hiyo? Je mhasibu aliyesomea lakini hafuati maadili ya kazi ni bora kuliko mtu anayefanya shughuli za uhasibu kwa maadili lakini hana usomi huo?
Je tatizo ni maadili au usomi? Je mtu aweza kujifunza maadili ya kazi bila kupewa cheti cha shahada.
mbunge kama mtunga sheria kwa mtazamo wangu nafikiri lazima awe na elemu ya kutosha ya kuweza kufahamu jinsi ya kuchanganua sheria inayojadiliwa au inayotakiwa kutungwa.
tatizo ni kuwa ubunge sio profession........na ndio maana, kusema mbunge lazima awe na elimu fulani inakuwa ngumu.
ila kimtazamo wangu nadhani mbunge anahitajika angalu kwa uchache awe amehitimu angalau o-level education.
Kama nimekuelewa vizuri ni kwamba sisi JF hatuna tofauti na hao waandishi wahabari, sisi iso waandishi wa habari, sisi ni wananchi tu toka njia nyingi za maisha tunaokuja kutoa maoni yetu tu, au? sio lazima tujje uandishi wa habari!
Basically what I am saying is if we are to hold anyone accountable, we need to hold ourelves accountable.
Ninachoongelea ni uandishikuandika si uandishi wa journalism.
Ukiangalia habari za Tanzania na waandishi wa habari (journalists) kuna makosa mengi sana katika kazi zao. Grammatic errors, lack of facts even flow of news.
Pamoja na uhuru wetu hapa wa kutoa maoni na ni wazi kuwa sisi si Waandishi wa Habari (journalists), lakini kanuni zakuandika (writting) hatuko exempted kisa tuko JF.
Tunapoanza kuwa na double standards katika maisha na kazi zetu, tunafungulia sanduku la kukosa kuwajibika.
The need to have a free press, which includes a press with no artificial barriers on entrance to it's corps, is paramount and supersedes the concerns about quality of journalism. Standards can be enforced on an ad hoc basis, this will still guarantee quality journalism without sacrificing freedom and innovation.
Einstein failed in school, if the scientific institutions and administration of the Annalen der Physik, leading German Phyusics Journal circa 1905 was as rigid as Mkuchika in accepting papers for publication, we probably would have been delayed the opus that is "The Theory of Relativity" by several years if not decades because Einstein did not have the required scientific credentials.But they looked at the paper, not the person.
The Theory of Relativity turned out to be arguably the most important Physical Theory of the last century, informing engineers on rocket trajectile, astronomers and cosmologist on the motions of the celestial bodies, and engineers on the calculus of Global Positionisng Systems.
And still some people want to entertain some form of medieval guilds!
Then unakuta muandishi aliyesomea Ilala School of Journalism ambaye haujui mlango wa library una rangi gani, ana quote sensationally, then unamkuta airhead mmoja huko Zenj kama Shamhuna, anamburuza huyu mama naye kwenye mijadala ya local politics.
Originally Posted by Pundit

Well, how come you borrowed a page from Mkuchika's playbook then:
Then unakuta muandishi aliyesomea Ilala School of Journalism ambaye haujui mlango wa library una rangi gani, ana quote sensationally, then unamkuta airhead mmoja huko Zenj kama Shamhuna, anamburuza huyu mama naye kwenye mijadala ya local politics.
Explain why I shouldn't call you Mkuchika's poodle, Mr. Cosmologist.
The need to have a free press, which includes a press with no artificial barriers on entrance to it's corps, is paramount and supersedes the concerns about quality of journalism. Standards can be enforced on an ad hoc basis, this will still guarantee quality journalism without sacrificing freedom and innovation.
Einstein failed in school, if the scientific institutions and administration of the Annalen der Physik, leading German Phyusics Journal circa 1905 was as rigid as Mkuchika in accepting papers for publication, we probably would have been delayed the opus that is "The Theory of Relativity" by several years if not decades because Einstein did not have the required scientific credentials.But they looked at the paper, not the person.
The Theory of Relativity turned out to be arguably the most important Physical Theory of the last century, informing engineers on rocket trajectile, astronomers and cosmologist on the motions of the celestial bodies, and engineers on the calculus of Global Positionisng Systems.
And still some people want to entertain some form of medieval guilds!
Nakubaliana na wewe . Nafikiri umeongea ukweli (Truth). Nao ndio kikorombwezo muhimu cha Uandishi wa Habari.inanikera sana kuona watu wanakuwa na uelewa mdogo katika jambo hili. wengi wa watu wanaopinga hii hoja humu ni waandishi wa habaru makanjanja na nahisi mnapinga ili kulinda ajira zenu. mimi nawashauri muende shule kwanza. OK. siamini kama watu wenye akili wanaweza kusema kuwa degree haihitajiki kwenye uandishi wa habari. hamjui kuwa ktk shughuli hiyo kuna kanuni na sheria nyingi sana mnazotakiwa kuzifuata ili msikolaidi na sector zingine za kazi za watu waliowazunguka? ndo maana lazima muende shule mkapikike kwanza.mnaboa kishenzi hapa tz, na kuna siku mtaondoka wote waje waliosomea. the day is coming. mnatutia aibu sana. tunapenda na we wish kama waandishi wa habari wetu hapa bongo mngekuwa safi na fit kama waandishi wenzenu wa nchi zingine. mnatumiwa kama instruments za kulipiza visasi vya watu tu, mnanunulika sana, habari mnazotafuta ni zile ambazo hamjazitafuta, bali mmepigiwa simu na watu wakawawekea mafuta kwenye gari zenuna hela ya kula, ndo mnakuja kuzitoa na kumfagilia.
Pundit nae anasema ametoa point ati....hahaha. Pundit, wewe mtu wa aina gani....
Nakubaliana na wewe . Nafikiri umeongea ukweli (Truth). Nao ndio kikorombwezo muhimu cha Uandishi wa Habari.