mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,902
- 2,096
Ulaaniwe na uzao wako
Duh mkuu Retired! Au wewe ndio wakili Mukono? maana imekugusa sana. Pole mkuu
Ulaaniwe na uzao wako
Hapana, wala. Kuna mtu anafurahia watu kupata mateso. Tunaanza ku breed watu wa hivyo awamu hii. Mara mashetani, mara matundu watatolea pesa etc, watu wanaambukizwa ushetaniDuh mkuu Retired! Au wewe ndio wakili Mukono? maana imekugusa sana. Pole mkuu
Watanzania IQ ndogo, watanzania wengi washirikina, watanzania wengi maskini wa kutupwa, watanzania waongoza kwa husda, watanzania wengi vichaa, etc. Ni tafiti zilizoleta matokeo yanayothibitishwa na post kama hizi. Hawaonekani barabarani sawa wewe unapata nini? Faida gani? Unaongezeka nini?
Hum jf kunawatu mnajifanya mna high IQ sana,,wenye IQ zao ni wakimyaYaani huu ni UMASKINI na UFUKARA mkubwa kwenye AKILI i za mleta huu uzi..
Yani watu wakiwa kwenye matatizo kwa baadhi ya watu ni furaha halafu eti ndio heshima aliyoleta JPM!!??
Heshima gani hiyo??
Hujui ni janga kubwa kiasi gani kwa mtu kama Mkono na wengine wa aina hiyo kupata matatizo?? Ajira ngapi amezitoa kwa watanzania??
So Poor and Low IQ.
Yaani mkuu acha tu, asili yetu ni kupenda kuona mtu hafanikiwi, mtu anateseka na ndo maana hatuji kuendelea kabisaaaaWatanzania IQ ndogo, watanzania wengi washirikina, watanzania wengi maskini wa kutupwa, watanzania waongoza kwa husda, watanzania wengi vichaa, etc. Ni tafiti zilizoleta matokeo yanayothibitishwa na post kama hizi. Hawaonekani barabarani sawa wewe unapata nini? Faida gani? Unaongezeka nini?
Ushakula viroba tayari? Maana huu upumbavu unaoandika sidhani kama unauelewaHum jf kunawatu mnajifanya mna high IQ sana,,wenye IQ zao ni wakimya
Ww bang kabixaUshakula viroba tayari? Maana huu upumbavu unaoandika sidhani kama unauelewa
Mkuu usipoteze muda na watu kama hawa sabb madhara ya yanayofanywa na Pogba inahitaji miezi mitatu tu ijayo kila mmoja atayaona. Kila siku wawekezaji wanafunga biashara zao na kukimbilia nje ya Nchi. Mapato ya serikali yanazidi kushuka kila uchao na madhara yake ni kukosa huduma muhimu za afya na elimu