Kapotelea wapi Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Mh. Nimrod Mkono?

Umri na mahitaji ya nyakati vimemfanya apotee hewani
Kwema wakuu?

Niende kwenye mada, huyu mbunge amekua kimya Sana kwa kweli. Mara ya mwisho ilisemekana alikua akitibiwa, je amerudi? Alikua akiumwa nini hasa?

Ni katika kutaka kujua tu wakuu

Jr
 
Habari wadau?

Hivi huyu mwanasheria wakili msomi nguli wa sheria za kimataifa yuko wapi maana asikiki tena hata ile kauli mbiu yake ya mkono kwa mkono inaelekea kusahaulika vichwani mwa wananchi.

Au ni mgonjwa yuko nje ya nchi maana hata vikao vya bunge sija msikia siku za hivi karibuni
Hata mimi nimejiuliza sana leo
 
Huyu ni Mh. nimrod mkono Mbunge wa ccm, tangu Bunge lianze ameshiriki vikao viwili tu ila mpaka leo bado yupo na nafasi yake ya ubunge, Tundu Lissu alipigwa risasi 16, akavuliwa ubunge wake na spika akiwa anauguza majeraha yake, spika alisema hajui Tundu Lissu alipo na wala hana taarifa zake.

Hapa kama watanzania inabidi tujiulize kilichopo nyuma ya pazia dhidi ya wabunge wa upinzani.

Na kama taifa letu halipo tayari kuwa na wabunge wa upinzani basi tubadilishe katiba.
FB_IMG_1589303570260.jpeg

In God we Trust
 
Huyu ni Mh. nimrod mkono Mbunge wa ccm, tangu Bunge lianze ameshiriki vikao viwili tu ila mpaka leo bado yupo na nafasi yake ya ubunge, Tundu Lissu alipigwa risasi 16, akavuliwa ubunge wake na spika akiwa anauguza majeraha yake, spika alisema hajui Tundu Lissu alipo na wala hana taarifa zake.

Hapa kama watanzania inabidi tujiulize kilichopo nyuma ya pazia dhidi ya wabunge wa upinzani.

Na kama taifa letu halipo tayari kuwa na wabunge wa upinzani basi tubadilishe katiba. View attachment 1448243

In God we Trust

Jr
 
HUYU MBUNGE SIJAWAHI KUMSIKIA KITAMBO SANA, HUYU NI MMOJA WA WATU WALIOFAIDI MEMA YA NCHI HII
 
Habari wadau?

Hivi huyu mwanasheria wakili msomi nguli wa sheria za kimataifa yuko wapi maana asikiki tena hata ile kauli mbiu yake ya mkono kwa mkono inaelekea kusahaulika vichwani mwa wananchi.

Au ni mgonjwa yuko nje ya nchi maana hata vikao vya bunge sija msikia siku za hivi karibuni
rip
 
Back
Top Bottom