Kapotelea wapi Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Mh. Nimrod Mkono?

awamu ya 5 haitaki ujanja ujanja... unatajirika kwa kutegemea hela za serikali... matajiri wanaotakiwa sasa ni kama bill gates, uber tax, oracle, dell yaani bidhaa zao zinauza dunia nzima.. hazitegemei mteja awe serikali tu waongeze mabei
 
Huyo jamaa kwanza ni mkabila hajasaidia musoma vijijini kitu chochote sema kawasaidia wazanaki wao

Kwahiyo ulitaka asiwasaidie Wazanaki wenzake huko Musoma kisha awasaidieni nyie? Halafu bahati nzuri ni kwamba hilo jimbo sasa hayupo tu Mzee Mkono peke yake bali pia yupo na Profesa Muhongo je mbona na Yeye pia humlalamikii na umejikita mno kwa Mzee Mkono na Wazanaki? Waswahili mna taabu mno hasa ' shida ' zikiwazidi.
 
Anajua akiongea ongea atamkumbusha JPM madhambi yake ya Bank Kuu.Anapaswa kuwa lupango huyo,he is lucky to be free.Si unakumbuka Bank Kuu iliungua wakati fulani,alipiga hela ndefu sana mzee huyo.

Hizo Hela alipiga peke yake? Mbona na wale wengine Wawili ambao walikuwepo katika huo ' Uwizi ' unaousema mmoja sasa yupo zake Kijijini huko Kilimanjaro huku akimwachia ' Majukumu ' yote ya Chama chake alichokianzisha DJ Freeman Mbowe na mwingine nae anatokea huko huko Kilimanjaro ila ana Kampuni yake Tanzu yenye Media kibao maeneo ya Mikocheni Industrial Area hamsemi kwamba na wao kwa sasa walitakiwa wawe Lupango? au mnadhani hilo ' deal ' lote la Kuungua kwa Benki Kuu kipindi ' wahusika ' wakuu wa mchezo wote hawajulikani?
 
Umasikini wako mkubwa ulionao ndiyo unakufanya umchukie hivi au? Kwani na Wewe katika hizo nyakati za hao Watawala wote uliowataja hapo hukuwepo? Kilikushinda nini na Wewe kuiba au kupiga dili? Halafu siku zingine kama una uhakika na Elimu na Taaluma za Watu ni vyema Kwanza ukakaa kimya ili wanaozijua wakuambie kuliko kukurupuka na kuonekana ni ' Mpumbavu ' fulani.

Hivi leo hii Wakili mahiri kama Mzee Mkono unaweza ukasema ana Elimu ya Kuunga unga? Are serious? Na kwa kukusaidia tu kwakuwa unaonekana ' ufukara ' mkubwa ulionao umekulamaza hadi na uwezo wako wa Kufikiri ni kwamba Mzee Mkono achilia mbali tu kwamba ana Elimu kubwa ya Sheria pia ana Elimu nzuri tu ya masuala ya Accounts and Finance.

Na kama kweli madai yako kuwa Mzee Mkono aliibia sana nchi hii nadhani na Mimi nitampongeza kwani yawezekana hao tuliowapa dhamana kubwa ya nchi hii walikuwa ni ' goi goi ' na ndiyo maana Mzee Mkono akawa anaiba hivyo nadhani lawama zako zote na kubwa ungezipeleka kwa Watendaji wako ' Wapumbavu ' waliokuwepo Kipindi hiko kwa kukubali kuzidiwa maarifa na Mzee Mkono.

Kwa maelezo yako tu ya chuki na yaliyojaa Wivu, Majungu na Husuda nahisi utakuwa ulienda kuomba Kazi / Ajira pale Kwake na ' ukatoswa ' au Nduguyo au Mzazi wako labda alikuwa hapo na ' akatumbuliwa ' au pia kuna uwezekano vile vile huyu Mzee ' alikuchapia ' kati ya Mkeo au Demu wako au kuna uwezekano na Wewe umejitahidi sana kuiba lakini bado hata hujafikia robo tatu ya Pesa au Utajiri wa Mzee Mkono hivyo una ' Kisununu / Kinyongo ' nae.

Kwa kuanzia tu nadhani ' dozi ' hii itakutosha na kama ukijitokeza tena kuleta ' pua ' yako hasa kuhusu Mzee Mkono nitakuongezea ' dozi ' yako nyingine. Halafu iwe mwanzo na mwisho kumtukana Mbunge wangu Shenzy Taipu sawa? Sisi Wazanaki wa kuanzia Butuguri, Busegwe, Bumangi na Butiama huyo ndiyo Mkombozi wetu pekee wa Maendeleo hivyo kumtusi hivyo ni sawa umetutusi na Wazanaki wote hadi GENTAMYCINE nikiwepo.

Mwisho kwa sasa hivi Ofisi zake hazipo tena hapo PPF Tower bali zipo katika Jengo la Exim mkabala ya Wizara ya Mambo ya Ndani. Narudia tena kusisitiza siku zingine kama unajijua hujui kitu au huna uhakika na jambo fulani bali jitahidi ufiche ' Upumbavu ' unaokusumbua.
Duhhh......
Hadi mdogowangu umebaki wazi...
 
Uhuru wa maoni ni haki ya kila mtanzania ikiwemo mporipori kama wewe.
 
Naskia amefilisika hata hawezi kulipa mishahara. Watendaji wake wakubwa wamesepa wameanzisha practice zao kwa hiyo mkono advocates iko hoi bin taaban, halafu Alzheimer ime kick in. Ila kasaidia sana musoma vijijini kwa kujenga shule za maana.
Shule gan kajenga??
Zile ni za wananchi yy kaja kuzindua tu kama mualikwa!!
Akafie mbele uko
 
Kwahiyo ulitaka asiwasaidie Wazanaki wenzake huko Musoma kisha awasaidieni nyie? Halafu bahati nzuri ni kwamba hilo jimbo sasa hayupo tu Mzee Mkono peke yake bali pia yupo na Profesa Muhongo je mbona na Yeye pia humlalamikii na umejikita mno kwa Mzee Mkono na Wazanaki? Waswahili mna taabu mno hasa ' shida ' zikiwazidi.
Acha hujua **** weeeh!
Humu mtandaoni unajikuta san yani.....kisemwacho ndo icho usijifanye jeuri kuzidi wengine tunakuchora tu mku.....n.du weee ni kweli hajasaidia kule vijijin zaid ya ukabila uliomjaa alafu unatukana watu ufukara humu hatujuani yawezekan wew ndo unaemea pua mbafuu zako,
Kwan mimi nimekuchana maisha yangu unayajua au unajua familia ninayotoka?
Jieshimu bhna na kueshimu maoni ya wenzako! https://jamii.app/JFUserGuide u
 
Acha hujua **** weeeh!
Humu mtandaoni unajikuta san yani.....kisemwacho ndo icho usijifanye jeuri kuzidi wengine tunakuchora tu mku.....n.du weee ni kweli hajasaidia kule vijijin zaid ya ukabila uliomjaa alafu unatukana watu ufukara humu hatujuani yawezekan wew ndo unaemea pua mbafuu zako,
Kwan mimi nimekuchana maisha yangu unayajua au unajua familia ninayotoka?
Jieshimu bhna na kueshimu maoni ya wenzako! **** u
what's your point kabla hujatoa hoja fanya utafiti no research no right to speak what I knw ni kuwa jimbo la butiama asilimia 80 au zaidi ni wazanaki vijiji kama butiama, busegwe, butuguri, buturu, kiabakari, buturu just mention few so unavyo he is tribalist ww ulitaka afanye vp yaan awe ni mbunge wa butiama then akasaidie wakurya? apart from that hata kabla ya jimbo kugawanywa alikuwa anafanya maendeleo had sehem ambazo hazikuwa za wazanaki kama vile majita, kiagata, buhemba nk ila tofauti ilianza baada ya prof mhongo kuwa waziri wa nishati akaanza kuwa favour watu flan kwa kuweka umeme hadi nyumba za nyasi hii ikasababisha division...
 
Mkono sio mbunge wa jimbo lolote na hakua muongeaji maana vitu vingi alifanya yy kama yy musoma vijijini tutaendelea kumheshimu na kumkumbuka daima amefanya mengi bila kutegemea mkono wa serikali
 
Back
Top Bottom