Kapotelea wapi Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Mh. Nimrod Mkono?

Duh mkuu Retired! Au wewe ndio wakili Mukono? maana imekugusa sana. Pole mkuu
Hapana, wala. Kuna mtu anafurahia watu kupata mateso. Tunaanza ku breed watu wa hivyo awamu hii. Mara mashetani, mara matundu watatolea pesa etc, watu wanaambukizwa ushetani
 
The bent, the sagging, the protruding, the sticking, the winding and the wiggling are being mercilessly and properly straightened.


Safi sana JPM kamua hapohapo wanazamba na kujamba upepo huku...
 
Watanzania IQ ndogo, watanzania wengi washirikina, watanzania wengi maskini wa kutupwa, watanzania waongoza kwa husda, watanzania wengi vichaa, etc. Ni tafiti zilizoleta matokeo yanayothibitishwa na post kama hizi. Hawaonekani barabarani sawa wewe unapata nini? Faida gani? Unaongezeka nini?

Naunga mkono. Hata yanayomkuta Malinzi ni husda.
 
Yaani huu ni UMASKINI na UFUKARA mkubwa kwenye AKILI i za mleta huu uzi..

Yani watu wakiwa kwenye matatizo kwa baadhi ya watu ni furaha halafu eti ndio heshima aliyoleta JPM!!??
Heshima gani hiyo??

Hujui ni janga kubwa kiasi gani kwa mtu kama Mkono na wengine wa aina hiyo kupata matatizo?? Ajira ngapi amezitoa kwa watanzania??

So Poor and Low IQ.
Hum jf kunawatu mnajifanya mna high IQ sana,,wenye IQ zao ni wakimya
 
Watanzania IQ ndogo, watanzania wengi washirikina, watanzania wengi maskini wa kutupwa, watanzania waongoza kwa husda, watanzania wengi vichaa, etc. Ni tafiti zilizoleta matokeo yanayothibitishwa na post kama hizi. Hawaonekani barabarani sawa wewe unapata nini? Faida gani? Unaongezeka nini?
Yaani mkuu acha tu, asili yetu ni kupenda kuona mtu hafanikiwi, mtu anateseka na ndo maana hatuji kuendelea kabisaaaa
 
Mkuu usipoteze muda na watu kama hawa sabb madhara ya yanayofanywa na Pogba inahitaji miezi mitatu tu ijayo kila mmoja atayaona. Kila siku wawekezaji wanafunga biashara zao na kukimbilia nje ya Nchi. Mapato ya serikali yanazidi kushuka kila uchao na madhara yake ni kukosa huduma muhimu za afya na elimu

Mkuu nakubaliana na hoja ila hilo jina la Pogba ulilotumia unatukwaza mashabiki wa Man United.
 
mkono%2Bpx.jpg


Wakuu ndugu yetu huyu yupo wapi?Kapotelea wapi huyu Mh Mbunge machachari sana na Wakili wa muda mrefu?

Matukio mengi makubwa yametokea lakini ukimya ni mkubwa sana?
 
Tabia za akina Robert mugabe

Wamezeeka wee kuachia madaraka hawataki

Uzee unamtesa huyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom