Kapotelea wapi Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Mh. Nimrod Mkono?

CHATO imeendelea, kuna traffic light za punda kuvuka, kuna mashule, kuna uwanja wa ndege, kuna mabenki, na sasa jamaa anatamani hta BOT iende huko, ndio maendeleo hayo.!
Hivyo vitu vidogo vidogo unavyotaja vimejengwa akiwa rais,mie nazungumzia miaka yake 20 ya ubunge zaidi ya hotel yake binafsi alifanya nini chato?
 
Hivi jimbo la Tanzania lilioendelea ni lipi? huyo magufuli amekuwa mbunge wa chato for 20 years amefanya nini chato na chato ina nini cha maana ukilinganisha na Singida mashariki?
Hivi sasa litaendelea kwa sababu rasilimali zote za Taifa zinapelekwa huko. Kwa maneno ya Waziri wa nishati Kalemani Chato itakuwa moja ya majiji makubwa Afrika Mashariki!
 
Hivyo vitu vidogo vidogo unavyotaja vimejengwa akiwa rais,mie nazungumzia miaka yake 20 ya ubunge zaidi ya hotel yake binafsi alifanya nini chato?
Nimeandika kwa dhihaka, Chato ni sehemu maskini sana na wachawi wengi, wapo 700 na bado wengine wapo masomoni.
Mika 20 kashindwa kazi anamnanga lissu, lissu ni mbunge wa nchi nzima, anachangia bungeni na pia kutunga sheria
 
Ni takribani miaka mitatu Mh Nimrod Mkono haonekani bungeni. Na kwa mujibu wa Rais jimbo la Singida Mashariki limekosa maendeleo kwa sababu ya Lissu kukosekana bungeni kwa miaka miwili. Hivyo ni wazi jimbo la Musoma vijijini limeathirika zaidi kwa kukosekana Nimrod Mkono!
Kwa mantiki hiyo Ndugai tangaza jimbo hilo kuwa liko wazi ili angalau watu wapate haki yao ya maendeleo kabla ya mwaka 2020 kuisha!
Sijuwi lini tutaachana na hawa Dinosaurs ?! Hasa kina Mkono na Chenge?! Yaonekana wana siri kubwa kwa watawala... 🤔 :(
 
Unalijua vizuri Hilo jimbo? Mimi nimesoma mojawapo ya shule kwenye Jimbo Hilo yaani nimrod mkono amefanya maendeleo makubwa mno- shule, Barabara, hospital, vyuo n.k Tena kwa pesa zake mwenyewe nenda uguse pale uone Kama wanainchi watakukubali.
Mkuu maendeleo hayaishi kwani Dar mbona kulikwishafanyika maendeleo na bado yanafanyika? Kwa hiyo jimbo hilo halihitaji maendeleo?
 
Unalijua vizuri Hilo jimbo? Mimi nimesoma mojawapo ya shule kwenye Jimbo Hilo yaani nimrod mkono amefanya maendeleo makubwa mno- shule, Barabara, hospital, vyuo n.k Tena kwa pesa zake mwenyewe nenda uguse pale uone Kama wanainchi watakukubali.
Rubish
 
Hajaongelea maendeleo ameongelea kuhudhulia bungeni we kilaza
 
Sio kweli ndg maana 2015 nilikuwa butiama ambapo ndipo anaongoza mkono na sio musoma vijijini ambapo yupo prof mlongo,tusipende kuamini bila kufanya utafiti wa kile tunachokiamini
Musoma vijijin liligawanywa ndo muhongo nayeye akagombea, lakin kabla ya 2015 lilikua jimbo moja
 
Nimeandika kwa dhihaka, Chato ni sehemu maskini sana na wachawi wengi, wapo 700 na bado wengine wapo masomoni.
Mika 20 kashindwa kazi anamnanga lissu, lissu ni mbunge wa nchi nzima, anachangia bungeni na pia kutunga sheria
Tuna rais wa ajabu sana, huyu rais wetu ukimskiliza unaishia kujilaumu kwa kwenda shule na kupoteza muda wako kumsikiliza anatumia
 
Tuna rais wa sana, huyu rais wetu ukimskiliza unaishia kujilaumu kwa kwenda shule na kupoteza muda wako kumsikiliza anatumia
hotuba zake sijui wtu wanajiskiaje, mda wote analalamika, haijulikani anamlalamikia nani.
kila kitu anacho, mara ooh nalala na mafaili, sasa sisitufanyeje,
 
Unalijua vizuri Hilo jimbo? Mimi nimesoma mojawapo ya shule kwenye Jimbo Hilo yaani nimrod mkono amefanya maendeleo makubwa mno- shule, Barabara, hospital, vyuo n.k Tena kwa pesa zake mwenyewe nenda uguse pale uone Kama wanainchi watakukubali.
Acha uongo ! Katika watu waongo nchi hii basi Nimrod Mkono ni mmoja wao ! Ni muongo anayeuhadaa umma wa maskini kuwa analeta maendeleo kwa fedha zake mwenyewe ilhali akijua sio kweli. Jimbo hili vijiji vingi watu wanakunywa maji pamoja na mifugo, huyu mbunge ndiye alizuia mradi wa maji wa kiagata kutoka mto Mara, ameleta maendeleo gani? Kwanza sio mjengaji wa hoja mzuri wala sio mtetezi wa wananchi wake bungeni, kiufupi ndiye mbunge wa hovyo Tanzania nzima.
 
Wadau Wazalendo,naomba kujulishwa Mh.Nimrod Mkono Mbunge wa Musoma Vijijini Yuko wapi?

Je, kapatwa na nini mpaka zaidi ya miaka 2 hajahudhuria vikao vya Bunge?

Je, sheria ya Bunge inasemaje juu ya KUTOHUDHURIA vikao?

Kama kakiuka mbona Mh.Spika yuko kimya,?Au ile sheria ni kwa Wabunge wa Upinzani?
Fedha zake zimepigwa bann account zake,billions kutokakana na kampuni yake ya uwakili alijipatia pesa nyingi hasa kwa kesi za ZESCO😂😂 TANESCO.

KURUDI NYUMBANI ANAJISIKIA VIBAYA MAANA AKIWA HOME KWAKE NI KAMA SHEREHE ANAGAWA NOTI KWA NDUGU NA JAMAA.

THIS TIME HAWEZI NA ANAJISIKIA VIBAYA HANA HELA jiwe kamtenda.

YUKO INDIA AMESUSA HATAKI KURUDI NA AKIRUDI HANA UWEZO KUFANYA MAMBO KAMA ALOYAFANYA KABLA.

Manyerere Jacton anaandaliwa kumrithi katika ubunge.

hiyo ni siri yako usimwambie mtu! 😷😷😷😷😷
 
Back
Top Bottom