Kapotelea wapi Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Mh. Nimrod Mkono?

Mshamba sana wewe, kwako wewe ndio maendeleo hayo!! Duh kweli Kanani tutafika wachache.
Musoma vijijini iko njema mkuu, kuna shule inaitwa Oswald Mang'ombe mwanafunzi kuanzia asbh mpka jioni haoni mchanga ni pavement na tiles mwanzo mwisho
 
Kazi aliyoifanya Mkono, Lissu hawezi kuifanya hata awe Mbunge miaka 60! Kazi kuropoka tu!
Elewa mantiki ya swali, Nimrodi Mkono ni mbunge kama wabunge wengine, haonekani bungeni huu ni mwaka wammoja nne, au alichukua likizo bila malipo? Suala la alifanya nini it is in the past. Kama alitumia fedha zake au za serikali, haituhusu, tunataka kujua hii double standard inapotoka!! Wengine walindwe wengine wanyanyaswe.
 
Unalijua vizuri Hilo jimbo? Mimi nimesoma mojawapo ya shule kwenye Jimbo Hilo yaani nimrod mkono amefanya maendeleo makubwa mno- shule, Barabara, hospital, vyuo n.k Tena kwa pesa zake mwenyewe nenda uguse pale uone Kama wanainchi watakukubali.
What???? Are you conscious?
Kwani Sheria inasemaje kuhusu mbunge asiyehudhuria vikao 3 mfululizo bila kutoa tarifa KWA Spika wa binge?
 
Ni takribani miaka mitatu Mh Nimrod Mkono haonekani bungeni. Na kwa mujibu wa Rais jimbo la Singida Mashariki limekosa maendeleo kwa sababu ya Lissu kukosekana bungeni kwa miaka miwili. Hivyo ni wazi jimbo la Musoma vijijini limeathirika zaidi kwa kukosekana Nimrod Mkono!

Kwa mantiki hiyo Ndugai tangaza jimbo hilo kuwa liko wazi ili angalau watu wapate haki yao ya maendeleo kabla ya mwaka 2020 kuisha!
MANYERERE JACTON ANAANDALIWA ! ni siri 😷😷yako usimwambie mtu !!!😷😷
 
Umewahi kuwasikia wananchi wa Butiama wakilalamika?!

Kule Ikungi wananchi waliandamana baada ya kuwaona Lisu na Mbowe wakila mapochopocho kule Ubelgiji!
Ungekuwa mjinga tungekusaidia kukupeleka mafunzo sasa huna akili tutakusaidiaje?
 
What???? Are you conscious?
Kwani Sheria inasemaje kuhusu mbunge asiyehudhuria vikao 3 mfululizo bila kutoa tarifa KWA Spika wa binge?
Huyo jamaa hapo juu,ni zwazwa sana,
Miundombinu ya jimbo,sio jukumu la mbunge,maana kama wabunge,ndio wanaoleta maendeleo,basi RAIA asiye mfanyabiashara asichaguliwe kuwa mbunge,
Maendeleo,miundombinu,ya umeme,maji,elimu,ni jukumu la serikali kuu,ndio inayokusanya kodi.
Maghufuri hatoi hela ya kuleta maendeleo kwenye majimbo!
Kama fedha ni za kwake,je alipo kuwa mwalimu sengerema secondary,alileta maendeleo gani?alijenga nini?,
Pesa ni ya umma,sio ya kwake,
 
Kwa mantiki hiyo Ndugai tangaza jimbo hilo kuwa liko wazi ili angalau watu wapate haki yao ya maendeleo kabla ya mwaka 2020 kuisha!
Kutoonekana bungeni pekee hakutoshi kumuengua mbunge
Lissu kaenguliwa kwa kushindwa tu kujaza page moja ya fomu ya maadili na kuituma kwa email kwa katibu wa sekretarieti ya tume.ya maadili ya viongozi
 
Kwa hiyo Nimrod amejaza hizo fomu!
 
Kwa hiyo Nimrod amejaza hizo fomu!
Nimrod ni mwanasheria makini amejaza na ameaga kuwa anaumwa
Hata Mbowe alipokua rumande aliandika memo kwa spika kuwa yupo mahabusu,akitoka tu atajaza
Tundu lissu ameponzwa.na ujuba na kiburi.chake hakuna asichokifahamu
 
Ni takribani miaka mitatu Mh Nimrod Mkono haonekani bungeni. Na kwa mujibu wa Rais jimbo la Singida Mashariki limekosa maendeleo kwa sababu ya Lissu kukosekana bungeni kwa miaka miwili. Hivyo ni wazi jimbo la Musoma vijijini limeathirika zaidi kwa kukosekana Nimrod Mkono!

Kwa mantiki hiyo Ndugai tangaza jimbo hilo kuwa liko wazi ili angalau watu wapate haki yao ya maendeleo kabla ya mwaka 2020 kuisha!
Ileje na Musoma wapi na wapi?
 
Mbaya zaidi Waliona hauyuko bungeni ni yule waliomiminia risasi................. Kiuhalisia ni hivi Nimrod Mkono na Mathayo David Mathayo hawako Bungeni muda mrefu sana
Mathayo David Mathayo wa jimbo gani?
Au ulimaanisha Vedastus Mathayo?
Au yule kolo wa Same?
 
Nimrod ni mwanasheria makini amejaza na ameaga kuwa anaumwa
Hata Mbowe alipokua rumande aliandika memo kwa spika kuwa yupo mahabusu,akitoka tu atajaza
Tundu lissu ameponzwa.na ujuba na kiburi.chake hakuna asichokifahamu
Fact, case closed
 
Back
Top Bottom