Kapotelea wapi Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Mh. Nimrod Mkono?

Unalijua vizuri Hilo jimbo? Mimi nimesoma mojawapo ya shule kwenye Jimbo Hilo yaani nimrod mkono amefanya maendeleo makubwa mno- shule, Barabara, hospital, vyuo n.k Tena kwa pesa zake mwenyewe nenda uguse pale uone Kama wanainchi watakukubali.
thibitisha apo kwenye pesa zake
 
Mzee amekua mtu mzima sasa ,maradhi yanamuandama pia, kuna kipindi sakata la Escrow walienda Uingereza na kamati akaugua ghafla wenzake wakadai alipewa sumu ...na wana CCM ...sababu yeye alikuwa mshauri Mkuu katika issue ya escrow...hakupenda fedha kuchukuliwa fedha kinyamala na ndo aliyemshauri Marehem Mgimwa....
 
Kwema wakuu?

Niende kwenye mada, huyu mbunge amekua kimya Sana kwa kweli. Mara ya mwisho ilisemekana alikua akitibiwa, je amerudi? Alikua akiumwa nini hasa?

Ni katika kutaka kujua tu wakuu
 
Kwema wakuu?

Niende kwenye mada, huyu mbunge amekua kimya Sana kwa kweli. Mara ya mwisho ilisemekana alikua akitibiwa, je amerudi? Alikua akiumwa nini hasa?

Ni katika kutaka kujua tu wakuu
Ngoja watu wa LUMUMBA waje kutupa mrejesho.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom