Inafurahisha huyu mwarabu alivyouma halafu akaja kupuliza, ki kinyonga kinyonga. Poleni Kaps
- Mungu amlaze pema peponi,
aliwahi kuwa Director wa DABCO ambayo aliiepeleka to the ground na kuiletea hasara kubwa sana serikali, lakini Kolimba akam-pick kuanzisha SUKITA ambako hata messenger alijenga nyumba ya kisasa, hasara iliyopatikana huko sidhani hata kama itakuja kusemwa wazi to the public, maana this SUKITA's thing was nothing but EPA, he was one of the untouchables wetu bongo yaani wachache walio juu ya sheria zetu, toka awamu ya kwanza mpaka hii ya nne.
Mungu amlaze pema peponi na pole sana kwa wafiwa hasa Mkulu Angel salam za heri kwa familia bro, poleni sana.
Respect.
FMEs!
akiwa kampuni ya sukita ambao ulikuwa mradi wa kifisadi wa chama ,ukitumika kulipia baadhi ya gharama za chama na matumizi binafsi ya kina kawawa,kolimba etc... SUKITA walikopeshwa na benki hata ikijulikana wazi kuwa hawawezi kulipa ......hata mradi wao wa pwagu na pwaguzi wa kujenga bwawa la samaki wa kufuga pale tabata ..........na hoteli ya kitalii ya nyota tano kwenye bonde la msimbazi [imagine jirani na kigogo...kati ya eneo la viwanda]....ulikuwa heavyily funded na mabenki....pamoja na kuwa wazi inajulikana kuwa ..eneo lile halifai kwa hoteli zaidi ya viwanda .....achilia mbali uchafuzi wa mto msimbazi na mafuriko ya mara kwa mara ..hakuna mgeni ambaye angefika kulala hata pakiwa pepo....kudhibitisha mradi ule ulikuwa wrong located hata baada ya sukita kufilisika ...ulishindwa kuvutia wanunuzi....lakini NBC na mabenki mengine yaliyokuwapo enzi hizo na wataalamu wao walikuwa wakipitisha mabilioni ya pesa kwa kigezo cha miradi aina hiii.....
wakati inakaribia kufunga milango deal kubwa ya kapinga na sukita kwa ujumla ilikuwa kupitusha mizigo ..ya wafanyabiashara kwa kutumia excemption [100%} waliyokuwa nayo.......na kulisababishia serikali hasara kubwa kwenye kodi............
- Ahsante Mkuu PM, maneno mazito sana mkuu! Lakini anyways Mungu amuweke pema peponi, hapa ni uwanja wa siasa kinachopita hapa lazima kiwe na siasa ndani yake, ndio maana ya ukumbi wa siasa.
Respect.
FMEs!
Jana nimepita kwenye bar yake cool breeze nimeona watu wanakata kinywaji kama kawa.
Lala salama mzee wetu.
- Mungu amlaze pema peponi,
aliwahi kuwa Director wa DABCO ambayo aliiepeleka to the ground na kuiletea hasara kubwa sana serikali, lakini Kolimba akam-pick kuanzisha SUKITA ambako hata messenger alijenga nyumba ya kisasa, hasara iliyopatikana huko sidhani hata kama itakuja kusemwa wazi to the public, maana this SUKITA's thing was nothing but EPA, he was one of the untouchables wetu bongo yaani wachache walio juu ya sheria zetu, toka awamu ya kwanza mpaka hii ya nne.
Mungu amlaze pema peponi na pole sana kwa wafiwa hasa Mkulu Angel salam za heri kwa familia bro, poleni sana.
Respect.
FMEs!
Mzee John Kolos Kapinga, atakumbukwa kwa wema na jumuiya ya waandishi wa habari enzi za Sukita kutokana na kuwashikisha mshiko wa nguvu. Kwa maoni yangu, nadhani sikuwahi tena kukutana na bahasha nene za mfano wa enzi za SUKITA!
Ni mtu mwenye roho nzuri ya dhati, mcheshi, na mchangamfu wakati wote. Mara ya mwisho nimemuona yapata wiki tatu zilizopita pale kanisa la Muhimbili kwenye msiba fulani, as usual he was smilling.
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi...
Amen.
Tumwombe Mungu amwonee huruma ampokee Mbingiuni kwenye Mikono Yake. Kifo cha ghafla kinasikitisha sana.
Si rahisi kukumbuka maisha na mchango wa Kapinga bila kukumbuka SUKITA. Nadhani SUKITA ni mojawapo ya vitu ambavyo vitapashwa kufanyiwa uchunguzi rasmi mara itakapowezekana (CCM wakiwekwa benchi).
Inasemekana sehemu ya biashara ya SUKITA ilikuwa kuagiza bia toka Kenya bila kulipa kodi. Ni uvunjaji mkubwa wa sheria. Na ikibidi walikuwa wanachukuliwa fedha moja kwa moja toka serikalini. Hata fedha za kuifilisi SUKITA inasemekana zimetoka serikalini.
Matatizo mengi ya utawala usiofuata sheria ambayo tunayo hayataweza kutatuliwa mpaka CCM ikae benchi kwanza.
Kwa comments hizi nashindwa kuandika "RIP Kapinga...", sijui niandikeje?John Kolos Kapinga alikuwa FISADI MKUBWA yeye anaishi Kimara Stop-Over jirani na Hubert Kilato Memorium Hall.
Mtu huyu alisababisha hasara kubwa sana kwa SUKITA, Alikuwa mpenda ngono kwa kiasi cha kupitiliza, mlevi wa kupindukia, mgovi mwenye kiburi na majidai ya ajabu.
Baada ya kutoka SUKITA alikuwa mtaani akitaka kila mtu amtambue kwamba yeye ni kada wa Chama! Hakuna wa kubisha kuhusu hujuma kubwa aliyoifanya SUKITA.
Mwalimu Nyerere aliwahi kumwita na kumuuliza kulikoni huko SUKITA alimjibu kuwa mradi wa nguruwe ni haramu kwa wana CCM hivyo mazao mengine yatokayo huko hayapati soko kwa sababu tumechanganya na nguruwe, bora ufe tuendeleze ufugaji wa wanyama wengine na kuku. Hata hivyo akamwambia walaji na wauwaji walio wengi wa SUKITA ni member wa NEC.
Mwalimu alimjibu NEC ina waislamu pia, Iweje wao ndio wale kitu haramu?"
Kapinga akanywea.......