FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
Kumbe ulikuwa hutumii Salama Condoms
We mtoto mdogo sana hujapevuka bado, kama umeona ni matusi kwanini na wewe utukane?. Uko frastulated sana, km unawaamini kaa mbali na mimi.
duuuuuuuh PUMBAVU WANAWAKE,,,hii inamaanisha pumbavu dada zako wa ukoo mzima,shemeji zako wote wa kike,mama yako mzazi,mama wakubwa na wadogo,mkeo kama unae,shangazi zako,bibi zako,walimu wote wa kike waliokufundisha,,,ama kweli kijana huna nidhamuAfadhali ya wewe, mm mtu wangu wa moro alinipa taarifa kwamba ana ujauzito wa miezi 7. Tulkuwa tunawasiliana tu na alkuwa hasemi, kila tendo nilitumia kinga, cha ajabu akaniambia kuna siku kinga ilipasuka ila hakunijulisha, nilipata fujo nying sana tena nikiwa mwaka wa 3 nahangaika na UE pamoja research, namshukuru Mungu siku disco masomo yangu ila alichonifanyia kmenifanya niachane nae. Mtoto alifariki siku 2 baada ya kujifungua. Wanawake nina dosari nao mpaka kesho maana aliniambia akiwa na ujauzito wa miezi 6 siku zake alkuwa akipata km kawaida japo alkuwa hajui km ni mjamzito. Pumbavu wanawake!
Bado mtoto huyu ananuka maziwa, mkafanyiwe maombi haraka lasivyo milembe itamhusu kabla mwaka haujaisha
Habari zenu wandugu,
Naombeni mnisaidieni kwa hili.Kuna dada mmoja nilifahamiana nae katika pitapita za mjini kwa hulka yangu na matashi ya kimwili kuwa na matamanio nikawa nimempenda nae akawa amenielewa kwa haraka kuliko nilivyofikiri.Basi tuliyaongea tukayamaliza tukapanga meeting park at home kilichoendelea hapo tulifanya mapenzi, basi kuanzia siku hiyo akawa amenogewa sana kila siku lazima aje nyumbani.
Mahusiano yetu hayo yalidumu kwa mda wa wiki mbili na siku kama tatu hivi nikawa nimeyasitisha kutokana na majukumu yangu ya kikazi kutokwenda vyema kwa sababu yake.anataka nimuache nyumban kama mke alieolewa wakati mahusiano yenyewe hayana hata mwenzi, ilinibidi nimwambie pita zako hivi tusijuane sababu nilimlipa pesa.
Baada ya kuachana nikwa namuona mitaa flani ya kujiuza ndipo nilipogundua huyu dada ni Malaya mzoefu.Miezi miwili imepita sasa ananiambia ana mimba yangu ameng'ang'ana na kutangaza mitaani kwamba mimba yangu akija nyumbani ni fujo tu ananiletea hadi naona kero kiukweli huyu Dada simpendi nilikosea tu.
Naombeni ushauri.
Afadhali ya wewe, mm mtu wangu wa moro alinipa taarifa kwamba ana ujauzito wa miezi 7. Tulkuwa tunawasiliana tu na alkuwa hasemi, kila tendo nilitumia kinga, cha ajabu akaniambia kuna siku kinga ilipasuka ila hakunijulisha, nilipata fujo nying sana tena nikiwa mwaka wa 3 nahangaika na UE pamoja research, namshukuru Mungu siku disco masomo yangu ila alichonifanyia kmenifanya niachane nae. Mtoto alifariki siku 2 baada ya kujifungua. Wanawake nina dosari nao mpaka kesho maana aliniambia akiwa na ujauzito wa miezi 6 siku zake alkuwa akipata km kawaida japo alkuwa hajui km ni mjamzito. Pumbavu wanawake!
sasa kama kondom zimeisha na dukan kwa bwana Mangi mbali.nitafanya nini?duh aisee chalii we nouma nimekuvulia kofia aiseee..... chaliii wiki mbili unakula kavu tena unakojolea humo humo .. kudadeki lea ili siku nyingine usione kama mangi anafaidi sana au anapata faida kubwa kuuza condom
nikweli tamu,kwani mwenyewe alienjoy sana.