"kavu tamu"
Afadhali ya wewe, mm mtu wangu wa moro alinipa taarifa kwamba ana ujauzito wa miezi 7. Tulkuwa tunawasiliana tu na alkuwa hasemi, kila tendo nilitumia kinga, cha ajabu akaniambia kuna siku kinga ilipasuka ila hakunijulisha, nilipata fujo nying sana tena nikiwa mwaka wa 3 nahangaika na UE pamoja research, namshukuru Mungu siku disco masomo yangu ila alichonifanyia kmenifanya niachane nae. Mtoto alifariki siku 2 baada ya kujifungua. Wanawake nina dosari nao mpaka kesho maana aliniambia akiwa na ujauzito wa miezi 6 siku zake alkuwa akipata km kawaida japo alkuwa hajui km ni mjamzito. Pumbavu wanawake!
Don't generalize ur problems kwa kutukanawanawake wote wewe fal.a! kama mpumbavu uliyekutana nae sio wote! in every general rule there is an exceptional! reasoning yako as a graduate na mpigadebe wa msamvu ni sawa!

Ingekuwa wewe ungefanya kama unavyosema?
Kamanda kazini..Wanyooshe
Bado mtoto huyu ananuka maziwa, mkafanyiwe maombi haraka lasivyo milembe itamhusu kabla mwaka haujaisha
Mkuu Uliposema wanawake wapumbavu ndo ulipokosea..Kosa la mtu mmoja lisifanye ukahukumu wanawake wote
Mkuu Uliposema wanawake wapumbavu ndo ulipokosea..Kosa la mtu mmoja lisifanye ukahukumu wanawake wote
Iltakiwa ueleze tu kwamba nimekosea, ila usirudishe baya kwa baya. Mm sipo moro, hiyo graduate niliipata 2012 npo mwanza nakula migebuka, 'upumbavu sio kosa' hata wazee km akina mkapa wanalitumia