Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Nilibishana nao sana sekondari. Wakijiona wanajua kudaka na kupiga chenga wanajua ndo maisha.Messi ana 400 $million na ndiye mchezaji mwenye mkwanja mrefu
Waliokua wanasema wachezaji wanamkwanja kuliko wasanii wa muziki nadhani majibu mshapata
Faiq bolkiah unamuweka wap?!Messi ana 400 $million na ndiye mchezaji mwenye mkwanja mrefu
Waliokua wanasema wachezaji wanamkwanja kuliko wasanii wa muziki nadhani majibu mshapata
TAARIFA KAMA HIZI SIO MUHIMU KWA WAKATI TULIO NAOKwa mujibu wa taarifa mpya iliyotoka jana Ijumaa, Forbes wamempa Kanye hadhi ya Bilionea wakidai ana utajiri wa ($1.3 billion) ambazo ni zaidi ya Trilioni 3 za Kitanzania.
50 hana mambo recently kabakia kuwa comedian wa IG kama Idris Sultan tu sina uhakika sana ila nadhani top 4 ina hawa Hov,Diddy,Kanye,Drake plus wazungu kibao waliopata utajiri nyuma ya pazia bila kushka mic mf Lyor CohenKwa investment na mali zote kwa pamoja iwe kwa usanii au ujasiria mali Kanye west na 50 cent nani ana mkwanja zaidi?
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Kibongobongo ina maana Kanye easy kawazidi hadi MO na Rostam utajiri...Daaah maisha haya bhanaKwa mujibu wa jarida la @forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020.
Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West amesema unatokana na biashara yake ya viatu Yeezy sneakers.
Awali Kanye West aliwapa Forbes document zake zote za mauzo ya viatu, Na majumuisho yalikuwa ni Dola Bilioni $3.2 kabla ya makato yote kufanyika.
Kanye West anakuwa msanii wa pili wa Hip Hop kuwa Bilionea, Baada ya Jay-Z kutawala kwa muda mrefu.
Hata hivyo, Kanye West bado anadai kuwa yeye ni Bilionea tangu muda mrefu ila hakutaka kuwaanisha Forbes kwa kuwapa nyaraka za mauzo ya viatu vyake.
Kama utakumbuka, mwaka jana jarida la Forbes lilimtaja Kanye West kuwa ana utajiri wa ($890m), kitu ambacho kilimkasirisha Kanye na hakukiunga mkono kabisa kwani alisema yeye ni bilionea na ana utajiri wa ($3 billion)
Kwa mujibu wa taarifa mpya iliyotoka jana Ijumaa, Forbes wamempa Kanye hadhi ya Bilionea wakidai ana utajiri wa ($1.3 billion) ambazo ni zaidi ya Trilioni 3 za Kitanzania.
ThKwa mujibu wa jarida la @forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020.
Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West amesema unatokana na biashara yake ya viatu Yeezy sneakers.
Awali Kanye West aliwapa Forbes document zake zote za mauzo ya viatu, Na majumuisho yalikuwa ni Dola Bilioni $3.2 kabla ya makato yote kufanyika.
Kanye West anakuwa msanii wa pili wa Hip Hop kuwa Bilionea, Baada ya Jay-Z kutawala kwa muda mrefu.
Hata hivyo, Kanye West bado anadai kuwa yeye ni Bilionea tangu muda mrefu ila hakutaka kuwaanisha Forbes kwa kuwapa nyaraka za mauzo ya viatu vyake.
Kama utakumbuka, mwaka jana jarida la Forbes lilimtaja Kanye West kuwa ana utajiri wa ($890m), kitu ambacho kilimkasirisha Kanye na hakukiunga mkono kabisa kwani alisema yeye ni bilionea na ana utajiri wa ($3 billion)
Kwa mujibu wa taarifa mpya iliyotoka jana Ijumaa, Forbes wamempa Kanye hadhi ya Bilionea wakidai ana utajiri wa ($1.3 billion) ambazo ni zaidi ya Trilioni 3 za Kitanzania.
The genious tycoonKwa mujibu wa jarida la @forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020.
Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West amesema unatokana na biashara yake ya viatu Yeezy sneakers.
Awali Kanye West aliwapa Forbes document zake zote za mauzo ya viatu, Na majumuisho yalikuwa ni Dola Bilioni $3.2 kabla ya makato yote kufanyika.
Kanye West anakuwa msanii wa pili wa Hip Hop kuwa Bilionea, Baada ya Jay-Z kutawala kwa muda mrefu.
Hata hivyo, Kanye West bado anadai kuwa yeye ni Bilionea tangu muda mrefu ila hakutaka kuwaanisha Forbes kwa kuwapa nyaraka za mauzo ya viatu vyake.
Kama utakumbuka, mwaka jana jarida la Forbes lilimtaja Kanye West kuwa ana utajiri wa ($890m), kitu ambacho kilimkasirisha Kanye na hakukiunga mkono kabisa kwani alisema yeye ni bilionea na ana utajiri wa ($3 billion)
Kwa mujibu wa taarifa mpya iliyotoka jana Ijumaa, Forbes wamempa Kanye hadhi ya Bilionea wakidai ana utajiri wa ($1.3 billion) ambazo ni zaidi ya Trilioni 3 za Kitanzania.
Yah kawazidi mkuu anapiga hela kwenye sneakersKibongobongo ina maana Kanye easy kawazidi hadi MO na Rostam utajiri...Daaah maisha haya bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Fifty hakuna kitu was broke now ameanza kurudi baada ya kugain entrepreneur mindsetKwa investment na mali zote kwa pamoja iwe kwa usanii au ujasiria mali Kanye west na 50 cent nani ana mkwanja zaidi?
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Utajiri haungalii umeanza lini, hata wewe ukiamua kuanza leo kupambana unaweza ukawapita walioanza kabla yako.Faiq bolkiah unamuweka wap?!
Alafu tangu lini messi akawa tajiri kuliko ronaldo?
Kanye west ameanza carrier ya mziki mwaka gani na messi lini?
Swali la mwisho kanye west ana miaka mingapi na messi ana mingapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmm kwa sasa MO si ana $ 1.6 b huku kanye ana $ 1.3 bKibongobongo ina maana Kanye easy kawazidi hadi MO na Rostam utajiri...Daaah maisha haya bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nazungumzia wasanii na wachezaji mpira we unanitajia mashehe?Faiq bolkiah unamuweka wap?!
Alafu tangu lini messi akawa tajiri kuliko ronaldo?
Kanye west ameanza carrier ya mziki mwaka gani na messi lini?
Swali la mwisho kanye west ana miaka mingapi na messi ana mingapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Messi ana 400 $million na ndiye mchezaji mwenye mkwanja mrefu
Waliokua wanasema wachezaji wanamkwanja kuliko wasanii wa muziki nadhani majibu mshapata
League sana. Badala ya kuuliza si ungeweka tu hizo info na huku Tandahimba tupimeFaiq bolkiah unamuweka wap?!