Hapa Ulaya.mbona madereva wa ambulance wengi ni wanawake? Sioni cha ajabu. Ila sidhani kama naweza kupanda naona aibu
Aibu itakutesa kutesa sana Mswahili wa Bara.
Hebu futilia mbali aibu yako.
View attachment 85437
Kazi ni kazi mradi mkono uende kinywani.
Huyu atakuwa mwanamke wa kichaga aisee!!!!!!