9.kama una gari usiizime weka silencer.
Baba mchungaji hayo ni mawazo ya shetani,9. Angalia Exit iko wapi mapema, ili akitokea kama hujampenda unaanza bila yeye kukuona
Unatakiwa usikurupuke mammito.ndo mana tongozo za mitandaoni sipendi kabisaaaaa!!!
kuchoreshana tu bure
reason behind mkuu,
Sema all in all blind dating huwaga ni ngumu.Nakumbuka myaka ya nyuma huko nshawahi kuwa na dating ya aina hiyo.
Nakumbuka siku tunakutana,bibie aliwahi kufika kabla yangu na akanielekeza sehem aliyokaa.Mwanaume nkawa nasogea kwa madaha but ile kupiga jicho eneo husika nkakutana na particle moja matata sana.
Yule bibie alivaa top flan hivi ambayo iliacha mikono na mabega yake wazi.Nakumbuka bega la kushoto alikuwa na tatoo ya NG'E alaf kulia kachora NANGA pia alikua kashaagiza konyagi maana nilikuta bapa limelazwa mezani.Aliponiona tu akahisi kuwa ni mimi,nkashindwa kumkimbia tukapiga story kadhaa ila tulivyoachana cku ile cjawasiliana nae tena mpka leo.
Naomba namba ake kakaa

Nimecheka sana mkuu
Kuna dada mmoja nilikutana naye darhotwire enzi hizo. Tukaanza kulonga kwenye simu wee kama miezi 2 hivi.
Kuka kukutan naye sikuvutiwa naye kabisa. Yaani alikiwa hunde. Sikuonyesha dissapointment ila nikaamua tu angalau ni mlambe hata mara moja.
Nilivyo muonja...alikuwa mtamu sijaoata kuona. Hadi leo tukikutana tuna kumbushiaga. Ingawa alisha olewa na ana watoto wa 3 sasa.
9.mwanaume jitahid kuwa unasmile ktk maongezi yenu.ila epuka kujichekelesha bila sababu atakuona mtambo.
nimeienda hii