ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 13,833
- 27,277
Basi kwishinei
Basi kwishinei
Na penati sio magoli?Assist sio magoli
Kama kuna kipengele cha magoli ya penalty ni dhaifu basi safari ni ndefu sana.Kiuhalisia wote wana deserve kupata zawadi sawa ya top scorer
Ukisema baada ya kulingana magoli ndipo uangalie magoli ya penalty Je ingelikua Mayele hajafunga goli leo si angesalia na magoli 16 akiwa nyuma ya Ntibazonkiza kwa goli moja.. naam hiyo tofauti ingemfanya antibiotic kuwa kinara lakin ndani yake magoli hayo hayo ya penalty yangekua yamempa favour
TFF/ Bodi ya ligi hapa wasigeuze watu hawana akili
Mayele hata 2022 TFF ilimuonea kwa Marefa kumnyima magoli mengi tu kwa kigezo cha offsides za michongo ilihali yalikuwa magoli halali kabisa ya kumpatia tuzo ya mfungaji bora.Mayele anatia huruma ili aweze ku share kiatu mfalme wa Bujumbura
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Assist ni goli? Yaani utafutie mfungaji kwenye assist? Halali bandari iuzwe
Kama kuna kipengele cha magoli ya penalty ni dhaifu basi safari ni ndefu sana.
Maelezo yako yanaprove kuwa ubongo wako uko very smart. Kongole mkuu.
Soma Hiyo,Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao.
Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu mfungaji bora.
Ahsanteni.
Na kubalanceKanuni ziko kimya uko sahihi. Sasa tusubiri busara na njonjo bahasha za tff
Soma hiyo itakusaidiaHivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao.
Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu mfungaji bora.
Ahsanteni.
Tusubiri tuone huyo tar 12 nani atachukua kiatu.
Wamesema kamati ya TFF na bodi ya league wataenda kukaa kuamua nani anastahili kiatu hicho.Kabla ya kila msimu board ya Liki hutoa Kanuni zitakazotumika msimu huo wa ligi. Zisipobadilika it's okay, ila swali langu ni je, kanuni za msimu huu zinasemaje?
zinaanza kuangaliwa nani ana penati chache kwenye magoli yakeMwenye assist nyingi ndio anapewa otherwise wanashare zawadi
Huyo mayele kuna penalty alipewaa alikosa, kwan kila penalty inakua goal, si ufundi waa mpigaji lolKiuhalisia wote wana deserve kupata zawadi sawa ya top scorer
Ukisema baada ya kulingana magoli ndipo uangalie magoli ya penalty Je ingelikua Mayele hajafunga goli leo si angesalia na magoli 16 akiwa nyuma ya Ntibazonkiza kwa goli moja.. naam hiyo tofauti ingemfanya antibiotic kuwa kinara lakin ndani yake magoli hayo hayo ya penalty yangekua yamempa favour
TFF/ Bodi ya ligi hapa wasigeuze watu hawana akili
Na mie nilicho kiona kat ya Saidoo na mayele watagawana tuzo, m1 atachukua uchezaji bora, mwingne mfungaji bora.Mayele hata 2022 TFF ilimuonea kwa Marefa kumnyima magoli mengi tu kwa kigezo cha offsides za michongo ilihali yalikuwa magoli halali kabisa ya kumpatia tuzo ya mfungaji bora.
2023 watamuonea aibu au la sivyo wakaze mafuvu tu maana hata tuzo ya mchezaji bora naamini inamuhusu Mayele.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Dah!! Nilidhani wanakwenda kupitia ksnuni, kumbe wanaenda kuamua anayestahili?Wamesema kamati ya TFF na bodi ya league wataenda kukaa kuamua nani anastahili kiatu hicho.