Kwa ishu ya mfungaji Bora wanapolingana magoli lawama zote ziende kwa Bodi ya ligi kuu ya Tanzania (NBC PL) kwa kutoandaa kanuni mapema

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,241
12,767
Kwenye hili suala la kuchagua mfungaji bora wa NBC PL endapo wachezaji walio vinara wa ligi watalingana magoli kwa mujibu bodi ya ligi ni kuwa msimu huu sheria zimebadilika za kuamua nani mfungaji bora.

Kwa mantiki bora ni kuwa bodi ya ligi itakaa kikao na kuamua mfungaji bora kati ya Fiston Mayele na Saidi Ntibazonkiza nani anastahili kiatu cha dhahabu, itaamua kwa kuangalia vigezo vya CAF na FIFA ili kutoa kiatu cha mfungaji bora.

Kwa msimu uliopita bodi ya ligi ilikuwa imeweka kila kitu hadharani kuwa ikiwa watalingana magoli wachezaji kwenye vinara wa ligi kuu ni kuwa atakae funga mabao machache ya penati kwenye idadi ya aliyofunga ndie mfungaji bora.

Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi kuu ya Tanzania (NBC PL) kuelekea kuamua mfungaji bora msimu huu! Huu ndio utaratibu.

Hii siyo Mara ya kwanza kwa Tanzania ilishawahi kutokea huko nyuma Saimoni msuva aligongana magoli na mchezaji mwenzie nafikiri kuanzia hapo ndiyo Bodi ya ligi ingeweka kanuni kuhusu hili lakini Bodi ya ligi ililala mpaka Sasa.

Bodi ya ligi itaamua Nani mshindi wa Kiatu Cha ufungaji Bora kwa kujifungia chumbani pasipo na kanuni yoyote au andiko lolote la sheria/kanuni Bali watatumia ushabiki tu.

Hivyo basi watakaposema Mayele au Saidoo ndiyo mfungaji Bora watakua wametumia kanuni zipi Za mpira katika nchi yetu??

Mimi nadhani kwa kua kanuni haipo Basi wafanye Kama ilivyofanyika kwa Saimon msuva kila mchezaji alipewa kiatu Cha ufungaji bora.
 
Bodi ya league ina watu wa namna gani ukifananisha na Chama cha soka cha Uingereza? Tuanzie hapo?
 
Siku moja moja suprize siyo mbaya
 
Kuna kama kitu hivii ulitaka kusema alafu kana kwamba ukaghairi..

Au kuna 'mchongo' unataka kufanyika?

Alafu kwanini watu wasipewe Kiatu uwanjani siku ya mwisho wa mechi??

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
UTARATIBU WA FIFA UPO KAMA IFUATAVYO.

1.Wanaangali mchezaji aliyefunga MAGOLi mengi zaidi kwenye mashindano.

2.kama wachezaji wamefungana wame( tie) MAGOLi aliyecheza MICHEZO MICHACHE ndio anapewa ufungaji Bora.

3.kama wote WAMECHEZA michezo sawa wanaangalia Mchezaji MWENYE Asisist nyingi.

KAMA TUNGEKUWA TUNAFUATA SHERIA ZA FIFA SAIDO ANGEKUWA MFUNGAJI BORA NBC 2022-2023.
 
Thibitisha hapa!!
1686423257620.jpg

Mkuu huyu ni wewe
 
UTARATIBU WA FIFA UPO KAMA IFUATAVYO.

1.Wanaangali mchezaji aliyefunga MAGOLi mengi zaidi kwenye mashindano.

2.kama wachezaji wamefungana wame( tie) MAGOLi aliyecheza MICHEZO MICHACHE ndio anapewa ufungaji Bora.

3.kama wote WAMECHEZA michezo sawa wanaangalia Mchezaji MWENYE Asisist nyingi.

KAMA TUNGEKUWA TUNAFUATA SHERIA ZA FIFA SAIDO ANGEKUWA MFUNGAJI BORA NBC 2022-2023.
Huo ni utaratibu wa FIFA je TFF wameuweka kwenye kanuni utaratibu huo.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom