Kanumba na "am close""

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Katika kitu kinachonikumbusha mfungo huu ukiacha nikule mh kanumba mwaka usiojulikana
aulizwa jengo la big brother vipi mbona ulikaribu akaunga am sorry am close wewe nini kitachakumbusha
mfungo huuje ni jinsi sulivyotumia kuvunja jungu??
Masharti na vigezo kuzingatiwa
 
Haaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaa aisee una kumbukumbu niliishasahau hiyooooooooooooooooo
huyu kila mfungo ukifika ana rkumbukumbu yake ya maisha
 
Katika kitu kinachonikumbusha mfungo huu ukiacha nikule mh kanumba mwaka usiojulikana
aulizwa jengo la big brother vipi mbona ulikaribu akaunga am sorry am close wewe nini kitachakumbusha
mfungo huuje ni jinsi sulivyotumia kuvunja jungu??
Masharti na vigezo kuzingatiwa

sijui huwa unaandika kiswahili au lugha gani....huwa najitahidi sana kukuelewa lakini nashindwa....kaushauri kadogo....ukiandika post iedit basi.....ili kama wewe mwenyewe umeelewa.....bila shaka hata sisi wasomaji tutaelewa....khaaaa!!!
 
Mkuu nimepitia Post yako moja muda si mrefu "WATU WA TANGA/CHALINZE KWA NINI HAWAJENGI KWAO" na niliposoma na hii,Ikanikumbusha kuna mtu nadhani mnataniana,alikwambia Pdidy punguza ganja.
 
i will open in the evening hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa and close tomorrow morning again hahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kanumba ni mwanga wa namna kiingereza kilivyo janga la taifa.
1.kiingereza.
2.umeme.
3.mafuta
4.
 
Jamani kiingereza ndio mumeona dilii. Mtu kwao bana. Mkataa kwao mtumwa. Mbona wazungu hawajui kiswahili na hamshangai? Ujinga huo.
 
kanumba ni mwanga wa namna kiingereza kilivyo janga la taifa.
1.kiingereza.
2.umeme.
3.mafuta
4.

Lkn huwa vi-film vyake vinakuwa na English subtittles zenye uafadhali kidogo (nadhani huwa anawa-consult vijana wanaogusa gusa Kiingereza kwa ajili ya ku-edit), lkn za Ray duh kasheshe! Full broken English, huwa naona aibu kuendelea kuangalia - huwa najifikiria kama hizi filamu zinaonwa hadi nje hii si aibu kwa Taifa (BASATA), tunaonekana wote hamna kitu! Na hivi kuna channel hii ya AfricaMagic Swahili imeanza wakiamini wanatangaza kazi kumbe wanatangaza ujinga ni aibu tupu!

Wanakosea vocabulary, grammer, spelling, tenses (English wanayotumia ni NEITHER British English NOR American English).
Hata hawafikii English yangu ya darasa la sita (1993) niliyofundishwa na mwalimu wangu Mwl. Deus Nyakulinga (Kiloleni & Bombamzinga Primary school)!
 
lakini tambua hiyo i sehemu ya lugha ya mitaani(slang) kwahiyo kabla ya kutoa hukumu kwake unahitaji fikara safi
 
Back
Top Bottom