Kanumba kutafuta mtoto wa 'chupa' kuna ashiria nini?

analeta umodel kitandani............,
naona jamaa ana wivu kwelkwel na jamaa wamejichana vibaya KUKUZ zake ndio mana kaamua kutoka kiivyo,we kanumba komaa we unakua kama mtoto wa mama vicheche wa kibongo wanakushinda?huyu mda si mrefu tutamuona uwanjani KAFULIA kama wenzake,ukimuona mtu anauza story za kishambashamba ujue tayari hana nyimbo
 
Kwa mtizamo wangu sioni tatizo kwani yeye ni mwanadamu huru na ana uhuru wa kuchagua apendacho..

Ila sasa akumbuke kuwa njia hiyo haipo kwenye orodha ya njia za kiasili za kupata
mtoto/kutunga mimba. Wengi wanaitumia kama njia ya mwisho baada ya juhudi za kawaida/asili kugonga mwamba. Kama yeye ni mzima na juhudi za kawaida hazijagonga mwamba basi yeye kufanya hivyo ni kama kumdhihaki Mungu. Vitabu vinatuambia "..miili yetu ni mahekalu.." kumaanisha kuwa miili yetu ina thamani yake na hatuna ruhusa "kuichezea" tupendavyo labda kama kuna shida ya kweli.

Nawasilisha.

wewe huoni tatizo hapo, we ni anglikana nini?
mwanamume rijali kabisa kutwa uko kwenye mikorogo an kujipodoa?

mkuu hapo tatizo lipo, kama anataka mtoto kwa mbegu zake kwa nini asisukume nyama akaweka kitu, kama hawezi bac kunatatizo ndio maana anazikusanya zikiwa za kutosha ndio anazikamua na kuzitumbukiza kunako
 
Duh Bongonians walivyokuwa wakali utadhani wao ndio wanamlisha, baadhi ya great thinkers [sinkers] wanaishia kujadiliana "eti atakuwa haiwezi shughuli" WTF?
 
Duh Bongonians walivyokuwa wakali utadhani wao ndio wanamlisha, baadhi ya great thinkers [sinkers] wanaishia kujadiliana "eti atakuwa haiwezi shughuli" WTF?
To hell you feeble minded!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom