Kanumba kutafuta mtoto wa 'chupa' kuna ashiria nini?

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Kuna tetesi kwamba kanumba anatafuta 'msichana' amzalie mtoto wa chupa! Je, hali hiyo inaashiria nini?

Nanukuu: "natafuta dogodogo mmoja ambaye atakuwa tayari kunizalia mwana lakini si kwa njia ya kujamiiana bali kupandikiza mbegu kwa chupa - Kanumba" Mwisho wa kunukuu

i1134_makala464994376e40c.jpg

Kazi kweli kweli

Do you want to know more about him? Visit: http://www.kanumba.com/index.html
 
ndo za wabongo kuiga mi naona anamwiga M.jacksoni hana lolote na kama si hivyo basi mchezo wa kitandani unamshinda!
 
inaashiria mfumo wake wa uzazi hautaki shida, anapenda kupumzika huku akila koni, mapaja ya kuku, hapendi jasho la wasichana na anapenda umaiko Jackson, aaah nimaisha yake lakini.
 
mmh. hii nayo habari. ila kwa kifup ni model kwa watu wengine utaskia watu wengine wakiiga..
 
Mpuuzi tu anataka kujifanya Michael Jackson wa Tanzania hana lolote.
 
Mwehu tu huyo, ajaribu kwanza jia za kawaida na kama ikishindikana afanye huo upuuzi wake.............
 
Kuna tetesi kwamba kanumba anatafuta 'msichana' amzalie mtoto wa chupa! Je, hali hiyo inaashiria nini?

Nanukuu: "natafuta dogodogo mmoja ambaye atakuwa tayari kunizalia mwana lakini si kwa njia ya kujamiiana bali kupandikiza mbegu kwa chupa - Kanumba" Mwisho wa kunukuu

i1134_makala464994376e40c.jpg

Kazi kweli kweli

Do you want to know more about him? Visit: http://www.kanumba.com/index.html
....jamani its his life let him do what pleases him as long as he is not breaking any law ;)
 
mbona mnakuwa wakali hivyo? ni maisha yake and he has a right to make choices,.
 
siwezi shangaa,kanumba si msanii, basi hata maisha yake yatakua yakisanii sanii tu.
 
At least he should have said how much is he willing to pay for the surrogate service
 
Ka-who?

Get a life guys, as far as I'm concerned he can do whatever is lawful. Na kama punga au si punga ni juu yake na wapenzi wake.

The trappings some of these great thinkers trap themselves in!
 
Ka-who?

Get a life guys, as far as I'm concerned he can do whatever is lawful. Na kama punga au si punga ni juu yake na wapenzi wake.

The trappings some of these great thinkers trap themselves in!
sio kosa lake!
 
Kwa mtizamo wangu sioni tatizo kwani yeye ni mwanadamu huru na ana uhuru wa kuchagua apendacho..

Ila sasa akumbuke kuwa njia hiyo haipo kwenye orodha ya njia za kiasili za kupata
mtoto/kutunga mimba. Wengi wanaitumia kama njia ya mwisho baada ya juhudi za kawaida/asili kugonga mwamba. Kama yeye ni mzima na juhudi za kawaida hazijagonga mwamba basi yeye kufanya hivyo ni kama kumdhihaki Mungu. Vitabu vinatuambia "..miili yetu ni mahekalu.." kumaanisha kuwa miili yetu ina thamani yake na hatuna ruhusa "kuichezea" tupendavyo labda kama kuna shida ya kweli.

Nawasilisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom