Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,288
ukiwa na hamu ya movie za kiswahili at least tafuta za jacob steven jb au richie ,wanajitahidi
saaana,true kabisa
ukiwa na hamu ya movie za kiswahili at least tafuta za jacob steven jb au richie ,wanajitahidi
UMEJUaje ni Bro??? anyway mnaamasha waliolala????????????hehehheheeeeeee kina missy pinky bwana bora umenena..
Kamwe filamu haitakuwa na uboro kama story, script, director na steering mkuu ni mtu huyo huyo. Naona hawaelewi kuwa filamu nzuri ni ile inayo shirikisha vichwa vingi, kwani makosa yatapungua sana.
nimevumilia nimechoka hiv ray na kanumba hamuoni au kuiga mifano ya filamu za nje kwa sababu utakuta STORY kanumba SCRIPT kanumba DIRECTOR kanumba EXECUTIVE PRODUCER kanumba hivi katika hali ya kawaida hii kazi itakuwa na ubunifu gani kanumba na ray katika kuhakikisha hilo chukueni kazi zenu za mwaka juzi mwaka jana mtaona zinavyo fanana kimazingira kimaneno hata mavazi badilikeni bwana
angalia kazi ya twenty pacent ilivyo wapiga mpaka leo mi bado naangalia anamaana twenty ana pesa kuwazid kanumba kamleta ramsey kutoka naijeria atashindwa vip kuleta mtalamu yeyote na asikudanganye mtu filamu ina pesa nzuri japo kuwa picha hazina ubora angalia kama picha mpya ya kanumba big daddy hutarudia mara mbili mimi nimejuta kuinunua
Kamwe filamu haitakuwa na uboro kama story, script, director na steering mkuu ni mtu huyo huyo. Naona hawaelewi kuwa filamu nzuri ni ile inayo shirikisha vichwa vingi, kwani makosa yatapungua sana.
hapo kwenye red, unamaanisha au makosa ya kiufundi?
Inawezekana kwani naamini hawa jamaa bado wapo katika low budget filming, kwa kumaanisha wataalamu tofauti na wao kwa hapo bongo sijui kama wapo kulinganisha na malipo, kwani kulingana na hali inavyoonyesha wao wameshakuwa ndiyo hiyo bongo movie yenyewe. Ninavyofahamu, wabongo wamekuwa kwenye filamu kwa kuigiza aina ya uigizaji wa Nigeria, kwahiyo na wataalamu wa filamu wanaoingia kwenye filamu wanawaigiza akina kanumba. Suala nadhani linakuja pale pale ili kuweza kuweka watu tofauti wenye uwezo mkubwa zaidi ya hawa jamaa inabidi hela ya ziada itumike kwa kuwalipa na pia kukubaliana na jinsi style ya wasanii wanavyotaka. Nilishawahi kutembelea Taasisi moja isiyo ya kiserikali hapo Dar, kwa kweli nilishangazwa na jamaa wanavyo fundisha vijana wadogo kuigiza, kwani huyo mwalimu mifano yake ni ile ile ya Kanumba na Ray, mtu akikerwa lazima sura aikunje kama anateswa. Lakini naamini filamu za Tanzania zina njia ndefu ya kufikia mafanikio ya dunia, lakini kuna hatua inapigwa kila siku zinavyokwenda mbele kwa jinsi ninavyohisi manake mimi siangalii hizo kwa sababu sipo karibu nazo kwasasa, Muhimu Tuendelee kutoa maoni yanaweza kusukuma maendeleo ya filamu, Nawakilisha.
unataka kusema ule umati ulikuwa ni viini macho.
unataka kusema ule umati ulikuwa ni viini macho.
kumsuport kanumba ni sawa, LAKINI RAY, PURE YUTONG!
kwanini?
kumsuport kanumba ni sawa, LAKINI RAY, PURE YUTONG!
Ngoja atangulie mbele ya haki halafu uhesabu watakao zimia.